Detoriarating Sex Life!!!! (Anataka Kumuacha Mkewe)

lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,569
Likes
11,715
Points
280
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,569 11,715 280
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!

Peopleeeeeess Niajeeeeeeeeee!!!!!

Leo bana kuna Zombi langu la longiiiiiiii, limeniita mahali nikalishauri huko kuhusu ndoa yake! Zombi hili sugu kama nini, alioa sasa mkewe akajifungua mwanzoni mwa mwaka, she was like 63Kg cause ana curves na kaurefu. Sasa baada ya kuleta chema KG zimefika 89 na zinaongezeka!!!!!! (with all due respect She is Obese!!!!Tusemage tu ukweli) Sasa bwana akajikuta mvuto umempotea kacheat na kident cha chuo kwa muda tu, ila mkewe hakujua wala kustukia chochote.

I guess ukijikausha kumtafuta Mungu, God decides to find you somehow in certain point of ya life!!!!!!! Mwenyewe tu kajitafakari kaamua kurudisha majeshi kwa wife Fully. He is ready to start all over! (Lets give him some credits for wanting to TRY atleast) Tatizo sexual life is worse! Anamuheshimu sana the baby mama bt hana hamu nae tena!!!! Kamchoka design flani! Sasa ndo amejitafakari to TRY ONCE MORE ikishindikana amdevorce tu na kuangalia maisha mengine kuliko Mateso bila chuki.

Kumwambia anadai keshajaribu sanaaa bt shosti anakuwa mkali sana (Si mnajua mtu mnene ukimwambia mnene anavopasuka na kufuraa!!!!!!! Hivo kaacha tu kumsema coz it hurts her feelings) Mimi si mnajua ALWAYS REASONABLE!!!!!! Bi dada (Mwanamke mwenzangu yule atiii) namuonea imani kweli kuachwa ila The guy deserves to be realy happy! Hizi games za living a lie siziungi mkono! Mi nimemshauri temporary solution za kumbadilishia wardrobe Kumtafutia nguo za wanene ila nzuri ili ajipatie na kutoka sexy na kitambi chake, waende vaccation kuspice up things, ampendezeshe yaani!

Kuna siku hapa The Boss aliongelea swala la mtu kuwa turned on na sense of humour! Busara! Heshima! Appreciation na qualitative aspects kama hizo!!!!!!!!!! Mimi hili siliamini, bt hey hii ndo solution ya yule zombiii kuokoa ndoa yake!!!!!! How does this work for real!
 
Last edited by a moderator:
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Messages
4,282
Likes
12
Points
0
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2012
4,282 12 0
Yani amwache mkewe kisa kuwa obese? Akitafuta mwingine naye after sm tmy akawa obese atamwacha pia?lakin c the boss alisema mwanamke akizaa thaman yake kwa mumewe inaongezeka au ni kwa wanaume wachache? Ila huyo bidada apunguze kg bana kuongezeka 26kgs its 2much.....
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,569
Likes
11,715
Points
280
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,569 11,715 280
Yani amwache mkewe kisa kuwa obese? Akitafuta mwingine naye after sm tmy akawa obese atamwacha pia?lakin c the boss alisema mwanamke akizaa thaman yake kwa mumewe inaongezeka au ni kwa wanaume wachache? Ila huyo bidada apunguze kg bana kuongezeka 26kgs its 2much.....
Suala sio Obesity!!!! Suala ni kuwa YOU MARRY SO AS TO ENJOY UNLIMITED SEX!!!!!!! Sasa unapokuwa umeoa na Sex inakuwa kikwazo inakuwa kama Kaka na Dada bana!!!!!!

Hawa vijana wanaooa wadogo matatizo kweli kweli!!!!!!!!!!
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
45,760
Likes
16,116
Points
280
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
45,760 16,116 280
Kwanini wasishauriene njia za kupunguza huo uzito? Kweli utake kumuacha mke kisa obess hii haingii akilini kabisa!
 
M

mzabzab

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Messages
7,635
Likes
1,155
Points
280
M

mzabzab

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2011
7,635 1,155 280
kudadadeki ...gaining excesive weight ni grounds for divorce kabisa!!! wewe mie nilivutiwa na wewe physically kabla ya tabia so that was a very important aspect in my decision to marry u...sasa usilete uzembe wakijinga and lose ur shape utegemee mie nitafurahi...hell no!!
 
N

Neylu

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Messages
2,675
Likes
52
Points
145
N

Neylu

JF-Expert Member
Joined May 28, 2012
2,675 52 145
Duh.. Ndio tatizo la kuoa UMBO la mtu.. Umbo likibadilika mapenzi kwishney.!!

Ila kumuacha sio suluhisho.. Amshauri tuu huyo dada afanye mazoezi na a control ulaji wake..!

Kwa ongezeko la hizo Kgs nyingi kwa kipindi kifupi lazma atakuwa mzembe sana..!!
 
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
7,661
Likes
2,873
Points
280
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
7,661 2,873 280
Ajabu sana ndoa hizi. Yaani unamwacha mkeo kwa sababu ya "uzito" tu?
Kuna watu nawafahamu wanaomba wapate mke hata asiyekuwa na macho na miguu ili wapumuwe
huyu anataka kumuacha mke kwa jambo lililo nje ya uwezo wake!!

Halafu anaomba ushauri kwa X
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,569
Likes
11,715
Points
280
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,569 11,715 280
Kwanini wasishauriene njia za kupunguza huo uzito? Kweli utake kumuacha mke kisa obess hii haingii akilini kabisa!
Yule mtu anapenda vitu portable na vijungu!!!!!!!! Ndo type zake long time!!!!!! Sasa wife ndo hivo tenaaa, pamoja na obese itakuwa kuna mambo mengine physical kaamua kyasitiri (May be uchafu im jst assuming) ila hana tu hamu na mwenzie kabisaaa!!!!!!!! Yani ule moto umezimika, sema ndo anakufa kisabuni. For sure if a guy cant enjoy tendo la ndoa sasa ataishije ktka hiyo ndoaaaa!?
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
29,523
Likes
14,836
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
29,523 14,836 280
Ana matatizo ya akili na pepo wa Ngono. Sishauri ujinga. Kwani yeye hivyo alivyo leo ndio alikua hivyo siku zote? awapunguze na nduguze basi au tuseme hana ndugu wanene? Nao waache kutokana na unene wao? watu wa namna hii huhitaji bakora tu.
Shwaini kabisa. Ameniudhi mno na sio ukute anakujengea mazingira ya kukutafuna mwenyewe
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,569
Likes
11,715
Points
280
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,569 11,715 280
Ajabu sana ndoa hizi. Yaani unamwacha mkeo kwa sababu ya "uzito" tu?
Kuna watu nawafahamu wanaomba wapate mke hata asiyekuwa na macho na miguu ili wapumuwe
huyu anataka kumuacha mke kwa jambo lililo nje ya uwezo wake!!

Halafu anaomba ushauri kwa X
Stop the negativity for the record HE WAS MY ZOMBIIIII!!!!!!!!! Alinitongoza nikampiga Ban ya friendship zone permanently, so IM HIS FRIEND!!!!!!!! VRY CLOSE ONE!!!!!! Hadi kanishirikisha habari za cheatting ujue tumeshibana! We usifikiri blander kama hizi unaenda kumuomba ushauri MSIMAZI WA NDOA!!!!!!!!?

The ISSUE IS NOT OBESITY!!!!!!! THE ISSUE NI KUTOKUWA NA HAMU NA MKEWE!!!!!!!!! Ingekuwa huo uobese kaupenda na anenjoy mambo, isingekuwa issue tunaongelea.
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,678
Likes
3,560
Points
280
Age
46
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,678 3,560 280
hahahah! hvi mzabzab na wewe siku ukiwa na kisukar ukashndwa kuperfom nikuache?? ama siku ukinenepa perfomance ikashuka? jibu ukweli
 
Last edited by a moderator:
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
29,523
Likes
14,836
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
29,523 14,836 280
Stop the negativity for the record HE WAS MY ZOMBIIIII!!!!!!!!! Alinitongoza nikampiga Ban ya friendship zone permanently, so IM HIS FRIEND!!!!!!!! VRY CLOSE ONE!!!!!! Hadi kanishirikisha habari za cheatting ujue tumeshibana! We usifikiri blander kama hizi unaenda kumuomba ushauri MSIMAZI WA NDOA!!!!!!!!?

The ISSUE IS NOT OBESITY!!!!!!! THE ISSUE NI KUTOKUWA NA HAMU NA MKEWE!!!!!!!!! Ingekuwa huo uobese kaupenda na anenjoy mambo, isingekuwa issue tunaongelea.
huyo ndio pepo ninaemzungumzia hapa. Unajitengenezea sababu halafu unazi-justify ili uweze kutenda upuuzi wako. Hivi kwanini kuna watu wako sooo selfish kiasi hicho? mwambie aache ujinga
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,678
Likes
3,560
Points
280
Age
46
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,678 3,560 280
Ajabu sana ndoa hizi. Yaani unamwacha mkeo kwa sababu ya "uzito" tu?
Kuna watu nawafahamu wanaomba wapate mke hata asiyekuwa na macho na miguu ili wapumuwe
huyu anataka kumuacha mke kwa jambo lililo nje ya uwezo wake!!

Halafu anaomba ushauri kwa X
mdogo wangu nakuombea tu Mungu akupe mke atakaye kupenda na kukuheshimu milele na ambaye wew utampenda na kumjali period.
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,569
Likes
11,715
Points
280
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,569 11,715 280
Na mwanaume akipata kisukari
akishindwa ku perform mke adai talaka?
Suala ni kuwa PEOPLE GET MARRIED TO ENJOY SEX!!!!!!! pamoja na mambo mengine!!!!!!!!!! Sasa kama PRIMARY OBJECTIVE cant be achieved kwanini mtu uishi kiungo!!!!!!! The guy is jst 28, haya ndo kaanza cheatting huko, akimletea mwenzie ugonjwa?

Na kama UNAISHI NA MWENZIO KAMA KAKA NA DADA for the rest of ya life ni ngumu aiseeee! Unamwambia mwenzio i love u! huku moyoni unsema i used to! We funguka LOVE ON QUALITATIVE ASPECTS ndo itamsaidia kubaki! Bila hivo atabaki MUME JINA!!!!!!!!
 
Dark City

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Messages
16,277
Likes
296
Points
180
Dark City

Dark City

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2008
16,277 296 180
Na mwanaume akipata kisukari
akishindwa ku perform mke adai talaka?

Unajua sie binadamu tunakuwa wabinafsi hadi tunakera....

Hivi huyo mwanamue anatumia akili ya kichwa kipi?

Anadhani kuna binadamu anakua na kubaki kama alivyo?

Anyway, ngoja azungunkie mabucha kwanza ila hiyo dhambi ni sawa na kula nyama ya mtu....

Babu DC!!
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,569
Likes
11,715
Points
280
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,569 11,715 280
Duh.. Ndio tatizo la kuoa UMBO la mtu.. Umbo likibadilika mapenzi kwishney.!!

Ila kumuacha sio suluhisho.. Amshauri tuu huyo dada afanye mazoezi na a control ulaji wake..!

Kwa ongezeko la hizo Kgs nyingi kwa kipindi kifupi lazma atakuwa mzembe sana..!!
Kupungua hadi mtu uamue na uone umuhimu! Yeye karizika na anaona kwanini mwenzie asimpende alivyo? Chezeya Nyama choma na chips kuku za edo!!!!!!?
 
Dark City

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Messages
16,277
Likes
296
Points
180
Dark City

Dark City

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2008
16,277 296 180
Stop the negativity for the record HE WAS MY ZOMBIIIII!!!!!!!!! Alinitongoza nikampiga Ban ya friendship zone permanently, so IM HIS FRIEND!!!!!!!! VRY CLOSE ONE!!!!!! Hadi kanishirikisha habari za cheatting ujue tumeshibana! We usifikiri blander kama hizi unaenda kumuomba ushauri MSIMAZI WA NDOA!!!!!!!!?

The ISSUE IS NOT OBESITY!!!!!!! THE ISSUE NI KUTOKUWA NA HAMU NA MKEWE!!!!!!!!! Ingekuwa huo uobese kaupenda na anenjoy mambo, isingekuwa issue tunaongelea.
Mdogo wangu Lar 1,

Huo ndiyo ukweli....you are not the right person kuombwa ushauri kwa sababu una stake kwa huyo kaka...

Hapa lazima conflict of interest haziwezi kukuacha ukawa impatial...

Vumilia tu comments za wadau hata kama hukuzipenda!!

Babu DC!!
 
Catherine

Catherine

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Messages
1,263
Likes
5
Points
0
Catherine

Catherine

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2012
1,263 5 0
Ameshaonja vya nje ndio maana hamu na mkewe imeisha... Ukishaanza hizi mambo za kucheat lazma uone mapungufu kwa mtu wako. Apige chini kweli hicho kitoto cha chuo, akili ahamishie kwa mkewe huku akiwe na 2 options; either kuaccept muonekano mpya wa mkewe or kumsaidia kupunguza weight...
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
80,923
Likes
46,534
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
80,923 46,534 280
Na mwanaume akipata kisukari
akishindwa ku perform mke adai talaka?
Anaweza asidai talaka moja kwa moja lakini akaanza visa ambavyo hatima yake ni talaka au utengano!

Pia, inaweza kuwa ndiyo mwanzo wa kuanza kutembea nje huku akijiaminisha ana sababu halali ya kufanya hivyo.
 
Forum statistics

Threads 1,237,733
Members 475,675
Posts 29,298,906