wajuaji mnaungua na jua ku comment topic za wasiojua! absurd matokeo wote tunakuwa walewaleHuyo mkalamba hajui asichojua muonee huruma tu.
Anafikiri kwa sababu kila mtu analala chini ya mapango kijijini kwao basi watu wote wanalala mapangoni.
Wewe unaeneza sumu ya kuaminusha watu jwamba wanawake wote ni malaya masikini.wajuaji mnaungua na jua ku comment topic za wasiojua! absurd matokeo wote tunakuwa walewale
humu kuna topic kibao! ajabu mmestak kama cd mbovu hapa! si muende kwenye topic zenu mlizoanzisha zenye mashiko!Hata mi naona kuwa Hana analojua na mbaya zaidi anadhani watu wote ni kama yeye, na kama vile hiyo haitoshi hajui kuwa hajui.
Ila nimecheka sana swala la watu kulala chini ya mapango huko kijijini kwao maana hapa sasa ndo tunaona madhara yake.

kwa hiyo ukiwa peke yako kutetea ujinga wako ni sawa? kumbuka uki comment kwenye ujinga nawewe mjinga! kilichokuleta nini kama sio kiranga chako!
Kama ulitaka yako iwe ya watu maalumu si ungewatumia PMhumu kuna topic kibao! ajabu mmestak kama cd mbovu hapa! si muende kwenye topic zenu mlizoanzisha zenye mashiko!![]()
ilipoti waifungie kama imekosa maadili.wewe haikufai sepa waachie wanaofaa! siwezi kuwatumia pm kwa sababu sikutegemea kama kuna watu hawatapenda iwepo japo hawana mamlaka ya kuzuia.Kama ulitaka yako iwe ya watu maalumu si ungewatumia PM
Ama kweli kukataliwa kubaya acha utape utape
Sasa usitulazimishe wote kukubaliana na wewe na wala usitupangie mahali pa kuchangia kwasababu internet tunajilipia wenyewe.ilipoti waifungie kama imekosa maadili.wewe haikufai sepa waachie wanaofaa! siwezi kuwatumia pm kwa sababu sikutegemea kama kuna watu hawatapenda iwepo japo hawana mamlaka ya kuzuia.
sijalazimisha mtu hapa.kama hukubaliani toa maoni yako sepa! sio uanze kumjadili mtoa mada! hiyo ni kazj ya invisible na moderator kama na abuse watu niripoti wanipe banSasa usitulazimishe wote kukubaliana na wewe na wala usitupangie mahali pa kuchangia kwasababu internet tunajilipia wenyewe.
Huko sasa kujihami.sijalazimisha mtu hapa.kama hukubaliani toa maoni yako sepa! sio uanze kumjadili mtoa mada! hiyo ni kazj ya invisible na moderator kama na abuse watu niripoti wanipe ban
Hahahaa kumbe,teh at least mtu mwingine kaona tatizo la Bob,he is all over posting negative topics about women,something must be wrongHuyu jamaa ni katika watu fulani ambao wanaendekeza umasikini na unyanyapaa wa kusema kwamba mwanamke akifika umri fulani ni wajibu wake kuwa mteremko tu.
Sasa kwa sababu mwenzetu anapenda miteremko, halafu anakutana na wanawake ambao kwa mujibu wa kanuni zake za umasikini na unyanyapaa wanapaswa wawe miteremko, lakini si miteremko, basi haishi kuhamanika.
Can you imagine mtu hili limemgusa mpaka kalianzishia thread?
Vibuti vingapi kavipata mpaka kuhamanika hivi?
I greet you all.
Watajwa hapo juu ni wanawake ambao hawana waume/mahusiano ya kudumu.
Wanaomba wapate japo mwanaume atakaweza kumsitiri, wengi wao ni wale ambao umri wa kugombaniwa na wanaume umepita kundi hili ndio wateja wazuri wa waganga wa kienyeji kwaajiri ya kusafisha nyota na kununua MGAGANE, ili aweze kuwanasa wanaume.
Tatizo lililopo ni baadhi yao wako very complecated, anaweka sifa na vigezo utafikiri ametoka kufanya NECTA Mwaka jana. Wadada, ukiwa kwenye fainali usisumbue bidders (watarajiwa) kuwa mnyenyekevu shukuru kwa yeyote anayekujia mradi anaakili timamu na anaweza kujitegemea na imani zenu ziwe sawa achana na kutafuta HB mda umeshakuacha!
Karibu tujumuike
Onyo, nothing personal here so don't come crushing to attack an innocent messenger like me.
Huyu jamaa ni katika watu fulani ambao wanaendekeza umasikini na unyanyapaa wa kusema kwamba mwanamke akifika umri fulani ni wajibu wake kuwa mteremko tu.
Sasa kwa sababu mwenzetu anapenda miteremko, halafu anakutana na wanawake ambao kwa mujibu wa kanuni zake za umasikini na unyanyapaa wanapaswa wawe miteremko, lakini si miteremko, basi haishi kuhamanika.
Can you imagine mtu hili limemgusa mpaka kalianzishia thread?
Vibuti vingapi kavipata mpaka kuhamanika hivi?
''Muhanga'' ndio nini?!We ni muhanga???
Nipo mkuu.1.
Asante mkuu Kiranga,
hilo uliloliandika ndio tatizo la wengi, wanataka watu wote wawe kwa namna wanayotaka wao. Dunia ni kubwa, wanadamu ni wengi hivyo inabidi tukubali hizi tofauti katika maisha binafsi ya mtu.
Itakuwa vibuti vingi sana maana amewashambulia vya kutosha..
Ila umepotea sana Kiranga........
Labda nikuulize, mtu desperate anakuaje? Mimi nafikiri mtu akiwa desperate ndio anafanya maamuzi bila kufikiri sana na huwa hachagui. Ukiwa desperate nakwambia ukiwa na shida kitakachokuja mbele utakichukua tu kwasababu huna namna.Dada ukiona mada soma vizuri uelewe.ukikuta maneno ya kiingereza yamo jiridhishe tafsiri yake.unachokisema na nilichokiandika havina uhusiano,usinilishe maneno yako tafadhali.situation yako ni mtu ambaye ni HAPPILY SINGLE! (Hii next time) leo ni DESPERATE SINGLE.Rudi kwenye mada kama una hoja.
Muone huyu.... Ndo unavyojidanganya hivyo? ? Unapata Confidence kusema maumbile ya watu kisa hujawahi kusikia yako yakisemwa? Au tuanze kukuchambua kila kona uone jinsi watu wanavyokula kobis wakikuona...! lakni wenzio wanaangalia performance sio maumbile!