Desperate single women, acheni complication

Mods, someone hacked @PRONDO s account..

brenda18
 
Kumbe ana posts nyingi za hivi. Clearly ana mental illness. Labda stress za kuachwa. Au hata wa kupata wa kumuacha hapati
 
Mods, someone hacked @PRONDO s account..

brenda18
Kumbe ana posts nyingi za hivi. Clearly ana mental illness. Labda stress za kuachwa. Au hata wa kupata wa kumuacha hapati
Hahaha, huyu mleta mada kuna sehemu yupo anashoboka kweli kweli,kuna shida mahali kwa kichwa chake,post mbili au tatu kwa siku about women is not healthy at all...
 
Makubwa ya binti jongo😕😕
Ngoja nikanawe uso nirudi kusoma hii comment
 
dah!! lakini licha yakusheheni wanyama wa kila aina lakini wengi wao wanaweza kuwa vimeo kuliko aliyepita
 
h
lazima yatakuwa yamelegea we angalia ukiwa unasex utaona yanafanya kama kuchapa k, kijana wa miaka 22 yamekaza.tena nyie wanaume mkifika 29 kuendelea mnaaza kuchakaa na mnachakaa vibaya mno basi ni vile tu sie wanawake ni wavumilivu.
ahahahaha yalikuchapaaa eeee
 
niweke akiba comment yangu nifanyekazi kwanza nikirudi tunachambua moja baada ya jingine
 
hizo ni assumptions tu mkuu japo yote yanawezekana
haya mkuu lakini neno langu lisikuyumbishe, kutokujitambua kwa wasichana wengi ndio chanzo cha kuchezewa, kuzalishwa na kuachwa. hawajui wala kuitambua thamani yao na pia hawaelewi nini wanachotaka na kwa wakati upi? wapo wapo tu huku wakisifiana ujinga mpaka kuja kutahamaki hawatamaniki tena
 
Tatizo waongo sana.
 
I humbly first tell you that I will not adhere to your onyo as long as what you are stating is suprising na lazima uamabiwe ukweli na hii sio attack ujue hilo

Pili hivi wewe BOB LUSE una nini na wanawake?

umezaliwa na mwanaume peke yake au?

Nionavyo mimi ni wazi kuwa you are not lucky with women ndo maana huishi kuja kuwapondea hapa,na ikiwa ndivyo ilivyo ni wazi kuwa huna hekima na hujui kusoma alama za nyakati na kufanya maamuzi ya sahihi na pengine unalazimisha affection hata sehemu ambayo hakuna lepe la affection kisha mazito yanakukuta

Tena huna heshima na wanawake pia na kumbuka kuwa statements zako umezigenerelazi hukuweka exceptions hii ikimaanisha kuwa hata mama zako,dada zako,shangazi zako waote wanafall hapa na hayo unayoyasema yanawahusu pia

wale ambao wamekuwa blessed na mahusiano mazuri na yenye afya ya uchumba familia na urafiki hutaka uwasikie wanakuja kuponda hapa,sasa kwa wewe na mfululizo wako wa thread za kupondea wanwake tu Napata shaka juu ya mahuiano yako na hawa viumbe,kwa mbali naonnaaaa maumivu ndani yako na kutendwa pia.
 
Ukiona mwanaume kutwa anashinda kuwaponda wanawake jua kuna tatizo sehemu,hana bahati na mahusiano,kichwa chake kimejaa negativity kuhusu sisi...wanaume type ya Bob wapo wengi sana humu jf wanajipooza kwa kuanzisha thread funny enough hazisaidii,hazibadili kitu... Kuna watu tumeshawashtukia tukianza na Bob,ni mwendo wa kuwaelewa tu jinsi walivyo
This dude posts almost 2-3 threads per day about women..who does that?smh
 
Aaah tumeshangaa leo changes...nilitegemea utaungana na mleta mada hapa
mi wala sijachangia content ya thread, nimechangia matumizi ya desperate.....logically as i said ukiwa desperate huwezi kuchaguachagua wala kufanya maamuzi sahihi,utachukua kitakachokuja...ukiona mtu bado anachagua huwezi kusema ni desperate. kwahio kuna contradiction hapa. yaani ukute nina njaa halafu mida mibaya............................................
 
I thought we were done madam! am shocked with your unfounded allegations.by the way sijawahi toa topic tatu kwa siku lkn nikitaka hakuna anayenizuia.watu mnazipenda ndo maana bado mna comment.feel free to enjoy my topics.
 
declare your interest for me to respond madam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…