Search youtube Emma heester× jason chen Despacito cover wameipiga vizuri sanaWamejitahidi saana. Una cover zingine za hii track? Tupia
Hii cover ntaifata youtube niisikilize vizuri nikitulia
Mbona nilishatoa cover nyingi 😛Uimbe basi na wewe hata cover ya nimpendenani nikusikilize![]()
hahahahhLike serious? Haha fanya kunitumia jina basi nikimbilie YouTube