Desktop yangu inashindwa kusoma blank DVDs

Petro Oswald

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2015
Posts
2,389
Reaction score
1,898
Kama title inavyojieleza ni kwamba nina desktop ambayo inashindwa ku 'read' blank / empty DVDs/CDs hivyo kuweka ugumu ktk kuchoma files, cha kushangaza ni kwamba nikiweka DVD ambayo ina file yyt basi Desktop hii husoma bila tatizo. Msaada tafadhali.
 
zamani sana hio,

nakumbuka tukichagua desktop zamani unaangalia mlango ni RW au R tupu?

RW inamaanisha ni read and Write yaani inaweza kusoma DVD/CD na kuweza kuandika kwenye DVD/CD (ku burn cd).

Ila mlango ukiwa ni R tu ina maana unasoma tu CD ila huwezi kuandika. empty cd ni kwa ajili ya kuandikwa kama mlango haukubali haiwezi kutambua empty.

sema unaweza ukaubadili na siku hizi hio milango ya cd imejaa kibao kwa bei za kutupa.

kuhakiki angalia huo mlango wako wa CD una neno RW kwa mbele?

41NiR3IdAZL._SY400_.jpg
 
Asante sana Mkuu
 
Mm ya kwangu inagoma Ku copy vitu kutoka kwenye cmu to the local disk. Tatizo pasua kichwa
 
Back
Top Bottom