Buyaka
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 1,643
- 1,786
Ndugu wana JF, nawasalimu katika jina la harakati za teknolojia.
Nina blackberry mpya, lakini niko disappointed kupita maelezo. Nimemiliki vimeo vya Nokia, LG, na Samsung, n.k. ambavyo vilikuwa vinaweza kufanya mambo madogo madogo ambayo Blackberry na u-smart phone wake inachemka kabisa. Yako mengi lakini kwa mfano, haiwezekani kuunganisha simu yangu kwenye computer na kuona na kuandika text message au ku edit contact list kupitia computer na hivyo kurahisisha process nzima. Software ya ku install kwenye computer inayokuja na blackberry (BB Desktop Software) ni upupu mtupu, haiwezi hata kusoma contact list, achilia mbali ku edit.
Je kuna mtu anajua software yeyote mbadala inayoweza ku connect na blackberry na kusoma, kupokea, na kutuma text message kutumia computer?