Desktop processor i3-2100 for sale/kuuza

nethighlife

Member
Aug 11, 2016
55
22
Prosessor hii ni ya desktop ipo sokoni ni dual core kwa 350,000Tshs Iko katika ubora wa hali ya juu.
pm me price is negotiable.

Sifa zake.
  • Number of Cores 2
  • Number of Threads 4
  • Processor Base Frequency 3.10 GHz
  • Cache 3 MB SmartCache
  • Bus Speed 5 GT/s DMI
  • TDP 65 W
Pia kwa wale wanaotakaku upgrade CPU i hope this is best choice for you.

WP_20170731_17_50_31_Pro.jpg
WP_20170731_17_50_58_Pro.jpg
 
Duh hiyo bei yako mkuu si mtu anapata desktop kabisa yenye processor kubwa zaidi ya hiyo. tathmini bei yako kiongozi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom