Desktop apps vs web application | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Desktop apps vs web application

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by aleckn, Oct 14, 2012.

 1. a

  aleckn New Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salama wave aw jf
  Kwa sababu ya ujio wa cloud computing which makes the use of web developed applications more ideal since they are the one that can be easily deloyed over the Internet, with this in mind, question what the future holds for desktop application? what advantages on get from using/developing a software of desktop nature?
   
 2. N

  Nyasiro Verified User

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ujio wa cloud computing hauathiri sana waafrika(watanzania). itachukua muda cloud computing kutufikia wengi. Web applications haziwez kureplace au kuathiri desktop apps. hata hivyo upo uwezekana mkubwa kwa programmers kukonvert desktop apps to web apps kwa sababu programming languages nyingi na develepors tools zinakupa uwezo wa kubuild web au desktop apps kwa urahisi.
   
 3. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na nyasiro, hata kama cloud based apps zitakuwa na umaarufu zaidi haimaanishi kuwa kifo cha desktop apps kimeshafika. Jaribu kufikiria kuhusu matumizi ya WinXP hata sasa pamoja na kuwa imekwisha pitwa na nyakati -- most ATMs, lib management systems n.k. zina-run on WinXP environment. Tunao mfanao mzuri wa Chrome notebooks ambazo utakubaliana na mimi kuwa bado haijapata umaarufu ule tuliotarajia ungekuwepo. Itachukua muda, muda mrefu actually.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,813
  Likes Received: 7,150
  Trophy Points: 280
  ujue unapozungumzia web app inamaana nkipata password yako tu hata kama nipo marekani naweza nkawa na control ya computer yako huku bongo. Nafkiri security yake ni ndogo tu. sasa imagine system kama hio ndio iekwe eneo kama ikulu si balaa hilo.

  Then hata huko kwao bado hawajaweza sababu web app (processor+internet) ina maana net ikiwa chini hata kidogo hata uwe na processor ya trilion ghz computer itakua slow.

  Mi naona ni fashion tu labda watoe hybrid ya desktop na web app
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Karibu Sana:::

  Join Date : 21st December 2010
  Posts : 1
  Rep Power : 0
  Likes Received0
  Likes Given0
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  this is his first post nahisi alikuwa anajifikiria since 2010.. karibu sana..
   
 7. a

  aleckn New Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkwawa

  -from was i read on case studies abroad, security is not an issue, there already many web application that are used as transaction systems abroad like paypal and amazon the system enable any one carry out transaction, they are secure and reliable.

  -as for internet speed, it is up you the user, if you have fast internet that fine, if it is slow it is up to you.

  -also web apps came with advantange of not having to install application softwares for client users and as you all know this makes them ideal to be used in cloud computing
   
 8. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,813
  Likes Received: 7,150
  Trophy Points: 280
  We unazungumzia online to online mi sina neno na hilo mi nazungumzia online to real life yani mfano kama jamaa alivosema hapo juu desktop app zinatumika sehemu nyingi mfano kama atm, security (ulinzi wa mali na nyumba ) kwa kutumia soft ya computer unaweza lock milango na ku control jengo zima sasa imagine security ipo online then kitoto tu cha miaka 16 kinahack kwenye system yako then kitakuhangaisha sana

  Yani online online online ni kama unasema for all lazma tutashare tu
   
Loading...