Design simple za Nyumba vyumba 2

Design simple za Nyumba vyumba 2

ukijenga kwa kutumia michoro yenye makadrio kamili ya gharama za majenzi ni nzuri sana unajifunza kubana bajeti vizuri ya uchumi wako. kuliko kuanza ujenzi bila kujua makadrio ya majenzi.
 
faida za miti ya kivuli kuwa ya aina matunda ni kujipatia chakula pamoja na pesa. Mti mmoja uzao wa pili hutoa matunda kuanzia 1500-3000 sasa ukiuza kwa bei ya shamba Tsh 500/= kila tunda, je fauda ni kiasi gani!?
 
kwanini usipumzike ndani?

nje nako kuna raha yake ujue!!!! haaaa haaaah wacha we uko kinywaji baridi mida ya jioni vile, mbona raha ukiangalia mandfhari ya nyumba yako, na hata ikibidi unaweza kutumia eneo hilo kama mahasli pa kupokelea wageni, si kila mgeni azasme ndani ajue sample za kochi ulizo nazo, ha ha ha haa ,.....!
 
Ujenzi unaokidhi haja na matamanio ya mtu. Subiri nizichange na mimi nike kuwa land lord hapa mjini..
 
nje nako kuna raha yake ujue!!!! haaaa haaaah wacha we uko kinywaji baridi mida ya jioni vile, mbona raha ukiangalia mandfhari ya nyumba yako, na hata ikibidi unaweza kutumia eneo hilo kama mahasli pa kupokelea wageni, si kila mgeni azasme ndani ajue sample za kochi ulizo nazo, ha ha ha haa ,.....!

Pavilion kali kweli,sijui kama kitaalam mnaziita hivyo
Kuna hotel moja inavyumba vyenye pavilion kama hizo basi bei yake inakuwa tofauti na vyumba vingine.
 
Mkuu hiyo 10 Million umepiga rangi kila kitu, ceiling board, sakafu, milango (fremu plus top) na madirisha yote yaani umeweka vioo? au ni ule ujenzi wetu ukiezeka na kupiga lipu ukaweka milango na dirishani ukapiga wavu tu?. Otherwise kazi nzuri mkuu

Ni ngumu. Grill tu ni 1m, bati 1m, mbao za Paa na bandaring 1m, gypsum 5k, milango 1m, frames 5k, chamber 5k, tofali 1m, Mchanga 5k, kokoto 3k, nondo 2k, wiring 5k.

Ufundi. Tofali hadi juu 8k, Paa 3k, plasta 3k, wiring 2k, tiles 2k, rangi 2k, gypsum 2k, Maji 3k, ulinzi unapoweka grill nk.

Pigs hesabu za haraka haraka.
 
ujenzi ni gharama, yahitaji maandalizi hasa ukifahamu unataka ujengeje na ukamilishe nini kwanza zaidi
 
ImageUploadedByJamiiForums1451815087.268445.jpg
single bedroom
 
Mimi nataka ramani nijenge ya vyumba vitatu ambapo moja ni master,dining,sebule,jiko na stoo pamoja na choo na bafu la ndani. Sihitaji kuweka vitu vya garamu kubwa. Upana wa nyumba 13 na urf 14. Kwa mwenye uelewa na ujenzi itanigarimu pesa ngapi
 
Idea nzuri sana, sasa je unao mchoro tayari ili tukupigie makadrio yake!
 
Back
Top Bottom