Derick Gaspar Mkandala Lufufu afariki dunia

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,351
Nimepokea habari hizi kutoka kwa msanii wa kuitwa Nash Mc, ameandika kwenye ukurasa wake wa FaceBook, sina shaka na habari yake kama na yeye hajasikia hewani hewani.




=========


Chanzo: MKALIMANI MAARUFU WA FILAMU NCHINI 'RUFUFU' AFARIKI DUNIA. ~ g sengo
 

Attachments

  • lufufu.png
    115.9 KB · Views: 8,168
Kama alisema kazi tu, Mwenyezi Mungu amrehemu.
 
Alikuwa anafanya shughuli gani? naona bila shaka sikuwa ktk ulimwengu wake!Simjui na ndo namsikia leo!
R.I.P.
 
Alikuwa anafanya shughuli gani? naona bila shaka sikuwa ktk ulimwengu wake!Simjui na ndo namsikia leo!
R.I.P.
Nyinyi watoto wa kishua amuwezi kumjua huyu mpk akupe KANYAMAZONGO wewe waulizeni watoto poli wa kitaa anod la jini km sio anod na mtoto jeni wapi dame na boloyanki kama hujaona picha mniga analiwa na mamba wewe siyo mjanja enzi hizo picha moja tsh 30 2 sh 50 adui na MZEE ASHANT araf limetafsliwa sasa na KAPTEN DERICK LUFUFU MKANDALA

LU
FU
FU
 
Alikuwa anafanya shughuli gani? naona bila shaka sikuwa ktk ulimwengu wake!Simjui na ndo namsikia leo!
R.I.P.

jamaa alikua amejiajiri mwenyewe,alikuwa akitafsiri movies na filamu za kizungu na kiarabu kwa lugha ya kiswahili na kufanya watu wengi waelewe main theme ya hiyo movie au filamu.Jamaa alikuwa na kawaida ya kuweka vionjo kadhaa vya maneno ili kunogesha hyo mambo.Kazi zake zilikua au zinapendwa sana uswahilini kwenye yale mabanda ya kuonyeshea video 'Vibanda Umiza'.Nimeanza kumfatilia Lufufu tangu nikiwa nasoma Sekondari miaka ya 1990
 

hiyo movie ya mniga analiwa na mamba nilipoisoma mpaka mwili umenisisimka mdau Mzimu wa Kolelo umenikumbusha wakat nasoma primary school enzi hizo kulikua na programu ya sinema za bure ikiendeshwa na shirika la bima la taifa (NIC) KWENYE OPEN GROUNDS,kwanza mnawekewa sinema za faida ya shirika la bima,kisha mwisho mnawekewa hiyo ngoma ya 'MAKOMANDOO SITA'.
Daaaah zamani sana kwakweli
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…