nilishawahi pand hii gari kutokea mbeya akiendesha huyu mama..kiukweli anastahili pongezi zake..yuko vizuri gari anaendesha mwendo wa kuridhisha na inakuwa imetulia sana barabarani..sometimes huwezi hata jua kama gari inakimbia jinsi inavyotulia..big up sana.