Dereva wetu leo

Dereva wetu leo

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
11074710_542575245884628_4783288308342807658_n.jpg
Nusura Maguluko 28 ni dereva Pekee wa Kike wa basi la Ndenjela linalofanya safari kati ya Mbeya na Dar
 
Naona anasali.........unlike the others...Ila sijui anaomba asishikwe na trafiki au yarabi safari salama?
 
nilishawahi pand hii gari kutokea mbeya akiendesha huyu mama..kiukweli anastahili pongezi zake..yuko vizuri gari anaendesha mwendo wa kuridhisha na inakuwa imetulia sana barabarani..sometimes huwezi hata jua kama gari inakimbia jinsi inavyotulia..big up sana.
 
Back
Top Bottom