Dereva wetu katika ubora wake!

Yule mlumumba wa scarf na tai bendera ndiyo ilo box linalodondoka achana na speed ya mkulu.
 
hahahaha tuko kwenye vita ya uchumi, naona kamua kuwasaidia mabeberu kutukandamiza
 
Yule mlumumba wa scarf na tai bendera ndiyo ilo box linalodondoka achana na speed ya mkulu.
yule niwa kumuombea azidi pata ajari tu japo si jambo jema ili ajifunze si mbaya
 
Kama 600 billions nanga imepaa hizo trillions za SGR atazitolea tundu lipi?
Kama 600 billions nanga imepaa hizo trillions za SGR atazitolea tundu lipi?
Inasikitisha Mkuu..

Sasa hivi nasikia wanakopa kwenye financial institutions ovyo-ovyo maana huyu mtu ni wa show off..

Wakati kuna sekta zinakufa Mkuu sababu hakuna Watumishi tu..

Afya ipo chali..Elimu inamalizikia kukata roho...Kilimo kifo tayari na matanga yalishaanuliwa long time..Viwanda imebaki story..

Ona hii aibu Mkuu..Tamisemi wametoa Tangazo nasikia la kimyakimya pale UDOM kwa Wanafunzi wanaosomea Education wakati wa likizo ndefu waende WAKAJITOLEE kufundisha kwenye shule zenye uhaba mkubwa wa walimu halafu watatunikiwa vyeti vya KUWASHUKURU na Tamisemi..(uzi upo humu wa leo)

Wakati mtaani kuna qualified teachers waliograduate toka 2015/16 mpaka hivi sasa hawajapata ajira..!!!

Nchi inamnyoosha yeye hivi sasa.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…