Nahisi kama huyo dereva sio mgeni kwangu....! Naona kama nilishawahi kumtumia dereva huyo kwa kipindi cha miaka miwili hivi....! Asili yake ni Kondoa na anaishi mjini Arusha, ni mfupi kiasi na ni mweupe kiasi fulani pia....! Hata hivyo yuko charming na anajua kazi yake kweli.....!Kuna gari naikodi, nimeipenda ikiwezekana niinunue moja kwa moja, kwasasa naitumia ninapo ihitaji. Dereva wa hili gari amekuwa na tabia ya kunawa kila tunapofika kituoni hatakama safari bado ndefu yeye kila kituo lazima ashuke na kwenda kunawa. Nimesha safari naye mara mbili ishu ni hiyo hiyo. Safari ya pili kusafiri naye nilikosa raha kidogo kwani kuna wakati napenda kuunganisha vituo yaani nikifika mwisho niunganishe yeye hataki kabisa,nikimuuliza kwanini anafanya hivyo ananiambia hapendi kuunganisha. Nilifikiria nibadilishe dereva lakini ukiondoa kasoro hiyo huyu dereva ni excellent Gents! mshakutana na dereva wa aina hii Ladies! tushee experiences.
Nahisi kama huyo dereva sio mgeni kwangu....! Naona kama nilishawahi kumtumia dereva huyo kwa kipindi cha miaka miwili hivi....! Asili yake ni Kondoa na anaishi mjini Arusha, ni mfupi kiasi na ni mweupe kiasi fulani pia....! Hata hivyo yuko charming na anajua kazi yake kweli.....!

Ni kwa msaada tu kama atahitaji ushauri zaidi.....! Si kwa mabaya, bali ni kwa mema zaidi....!Mhh we konakali ndo nini kumchambua dereva wa watu hapa!!akaa
Hapo kwenye red, ni yapi mkuu....? Tudadavulie nasi tuwe makini na hayo....!Mwambie mwende Loliondo kwa babu umsikie atakavyochomoa na hata kama unampa Milioni sidhani kama atakubali, atajua yatamtokea kama ya yule mzee wa general Tyre kama ameyasikia!!!!
Mkuu inawezekana madereva kufanana pia.....! Kwa hiyo sio lazima niapatie kote...! Aidha, waweza kumchukua mazima, and all the best mkuu....!Mkuu, Kondoa umepata ila habari ya Arusha siijui.. almost ni kama unamfahamu vile.. Bonge la driver nataka nimchukue jumla jumla
Wala usitishike mkuu, maana uwanja ni wako na uwe huru kabisa.....!Sweetdada, Konakali Ananitisha!
Si majini, huo ndo utaratibu wa udereva. Kama vipi ujaribu nawe then utapata mlisho nyuma wa uhakika.ana majini huyo
Sasa si ndo Fresh, we ulitaka Dereva amabaye hanawi kila Baada ya Kituo!!!???atakuwa Mchafu huyo na Kama ni mie nashuka fastaaa, si unajua Madereva wanakuwaga na Oil flan hv na hulowaga sana baada ya Kila kituo...Nipe mie huyo Dereva wakoKaka anajua kuendesha! We hujawahi kutana na dereva wa hivi?
Kuna gari naikodi, nimeipenda ikiwezekana niinunue moja kwa moja, kwasasa naitumia ninapo ihitaji. Dereva wa hili gari amekuwa na tabia ya kunawa kila tunapofika kituoni hatakama safari bado ndefu yeye kila kituo lazima ashuke na kwenda kunawa. Nimesha safari naye mara mbili ishu ni hiyo hiyo. Safari ya pili kusafiri naye nilikosa raha kidogo kwani kuna wakati napenda kuunganisha vituo yaani nikifika mwisho niunganishe yeye hataki kabisa,nikimuuliza kwanini anafanya hivyo ananiambia hapendi kuunganisha. Nilifikiria nibadilishe dereva lakini ukiondoa kasoro hiyo huyu dereva ni excellent Gents! mshakutana na dereva wa aina hii Ladies! tushee experiences.
Shida yako ni kununua gari au kubadilisha dereva? Kama gari siyo lako ni la kukodi tu mambo ya dereva yanakuhusu nini tena si ukodi gari jingine? Kwani ukinunua gari lazima umchukue na dereva wa hiyo gari?
Kuhusu vituo labda utuelimishe zaidi kuhusu umbali wa kutoka kituo kimoja mpaka kingine.Inawezekana anahitaji kwenda toilet kupunguza haja zake na hivyo lazima anawe. Sasa kuficha siri ya kuwa anaenda KUNYA anakuambia kuwa anaenda kunawa. Ulitakiwa uelewe kuwa kunawa kunatumika kama kiwakilishi tu. Au yawezekana ana tatizo la kiafya ambalo ni siri yake binafsi hivyo siyo haki kuanza kumuuliza akueleze.
The best way ni kumuuliza.
Kaaazi kweli kweli!!!Lock milango ili asiweze kushuka!!!
Mwambie mwende Loliondo kwa babu umsikie atakavyochomoa na hata kama unampa Milioni sidhani kama atakubali, atajua yatamtokea kama ya yule mzee wa general Tyre kama ameyasikia!!!!