Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
T 183 CMK school bus ya shule ya St. Florence imenipita hapa taa za mbuyuni kwenye fuel station ya GAPCO dereva anaendesha huku anaongea na simu.
Mamlaka zinazohusika na uongozi wa shule, hii sio nidhamu tunayoitaka kwa mtu anayebeba watoto wetu.
Mamlaka zinazohusika na uongozi wa shule, hii sio nidhamu tunayoitaka kwa mtu anayebeba watoto wetu.