Ninatafuta dereva wa pikipiki ambaye atakuwa anafanyia kazi mjini na sio pembezoni mwa mji, pikipiki yenyewe ni aina ya boxer ipo vizuri sana.
Masharti ya dereva;
Awe na leseni ambayo haijaexpire
Awe na mashahidi
Awe anamakazi maalumu ya kuishi tuwasiliane kwa pm au kama unandugu ambaye yupo vizuri haina tatizo tunawasiliana.
Masharti ya dereva;
Awe na leseni ambayo haijaexpire
Awe na mashahidi
Awe anamakazi maalumu ya kuishi tuwasiliane kwa pm au kama unandugu ambaye yupo vizuri haina tatizo tunawasiliana.