Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,475
- 43,821
JOYCE bana unampenda sana mzee naona hata ID yako umemtaja kiduchu Freeland malizia tu Freeman.jesikaaaaaaa a.k.a kilazaaaaa wa joniiii mla ktmt
Hahahahhahahahha!!!
JOYCE bana unampenda sana mzee naona hata ID yako umemtaja kiduchu Freeland malizia tu Freeman.jesikaaaaaaa a.k.a kilazaaaaa wa joniiii mla ktmt
Konda humuoni huku ndani anatoka povuNauli anaokota nani Na vipi mateja Na wapiga debe wanaotaka dereva asibadili mfumo Ili Wao wasikae benchi. Abiria wanalipa kweli au kila mtu staff.
Dereva amegonga vibao vyote vya barabaraniJOYCE bana unampenda sana mzee naona hata ID yako umemtaja kiduchu Freeland malizia tu Freeman.
Hahahahhahahahha!!!
Naona konda umeachwa umeamua kupiga makelele hili basi dereva wake ni wa mwendokasi, abiria tulikwambia konda funga mkanda wewe ukabaki unaning'inia mlangoni. Sasa kimekukuta kelele za niniJOYCE MUKYA naye kaingia.
Teh teh teh!
jeskaaaaa....a.k.a kilazaaaaJOYCE bana unampenda sana mzee naona hata ID yako umemtaja kiduchu Freeland malizia tu Freeman.
Hahahahhahahahha!!!
JOYCE bana naona ID yako lazima umtaje mzee Freemaland A.K.A Mbowe.jeskaaaaa....a.k.a kilazaaaa
Konda unatafuta abiria huku nini wameshashtukia watu huku awapendi ajaliJOYCE bana naona ID yako lazima umtaje mzee Freemaland A.K.A Mbowe.
Mkuu vijana wa mwendokasi wameishiwa pumziKumjadili muanzisha mada ni dalili ya kutoelewa alichoandika, tuna chuki naye au mapenzi yaliyopitiliza kwa dereva wa mwendo kasi?
Umemuona Kondakta wake lakini?Dereva wa mwendo kasi hatujaonaaaa! Choraaaaaaaaaaaaaaaa!
Dereva na konda wapo bize wanatimua wapiga debeUmemuona Kondakta wake lakini?
Watanzania wamechoka na Dereva wa mwendokasida nimeipenda, huyu baba jesi ni noma
Mbaya zaidi wanatimua mpaka Abiria mwendokasi ni hatari sanaDereva na konda wapo bize wanatimua wapiga debe
Abiria walionusurika watafute usafiri mwingine ili wafike safari yaoTushapata ajali na ndio basi lenyewe
Hahahahahaaaa hii ishu inanikumbusha shairi moja niliwahi kulisoma nlipokuwashule liliandikwa marehemu prof Mwaikusa, linahusu daktari wa meno mmoja aliyetegemewa kutibu maradhi ya meno kwa wagonjwa badala yake alipoanza kazi akang'oa meno yote mazima na yaliyokuwa na hitilafu na kuwaacha wagonjwa vibogoyo. Mwendo kasi nomaaaMbaya zaidi wanatimua mpaka Abiria mwendokasi ni hatari sana
Ujumbe mahsusi kwa ajili ya huyo bwana mdogo Mwanahabari, huwa anapenda sana sarcasm lakini haiwezi.Tuliza hasira mkuu! Hata hadithi ya dereva unakuja juu namna hii? Au wewe unamjua huyo dereva anayezungumziwa hapa ili tumshauri apunguze mwendokasi au awe makini na sheria za barabara asije tuangusha sote?