MvunjaJungu2016
Member
- Mar 9, 2016
- 18
- 11
Hahaha haha eti Baba Jesca.
Baba jescahahaha baba jesca a.k.a joniiiii
Kweli kabisa lakini siyo yenyematamko ya kudhalilishaElimu yako wewe ni ya mwendo kasi kwa hiyo sijatoka nje ya mada.
Umenena mkuuMimi nikipanda basi,dereva akasema tumuombee halafu akakanyaga mafuta mpaka mwisho bila kujali matuta wala kona kali hapo najua ni suicide mission!
Possibility ya kufika salama ni 1% na ndio maana anasisitiza sala!
Hamna hoja hapo ya kujadiliwa hiyo drama uliyoandika unaita hoja.Hoja ujibiwa kwa hoja
Dereva wa mwendo kasi speed yake vipi na kashapata ajaliHamna hoja hapo ya kujadiliwa hiyo drama uliyoandika unaita hoja.
Umeshaanza umbea wako kama hamna hoja umeandika nini?Hamna hoja hapo ya kujadiliwa hiyo drama uliyoandika unaita hoja.
Mkuu Kill4 hao nimakondakta wa Dereva wa Mwendo kasi lazima wamtete ili wapewe bakshishiUmeshaanza umbea wako kama hamna hoja umeandika nini?
Pamoja MkuuMwanahabari Huru
Umeiteka Jf kila kitu kipo under control. Kama ni soka wewe ni Ronaldo na wewe ni Mesi yani tuzo zote umekomba
Salute kwako
Huo muda uliyopoteza kuandika hizi pumba si bora ungeutumia hata kwenye kilimo cha nyanya au kufuga hata mayai ya kwale.Dereva wa mwendo kasi speed yake vipi na kashapata ajali
Nawaona wanajitahidi kumtetea dereva ambaye ameshapoteza mwelekeo .Mkuu Kill4 hao nimakondakta wa Dereva wa Mwendo kasi lazima wamtete ili wapewe bakshishi
Hahahahahaha!! Magari mabovu yanavutana.Mwanahabari Huru
Umeiteka Jf kila kitu kipo under control. Kama ni soka wewe ni Ronaldo na wewe ni Mesi yani tuzo zote umekomba
Salute kwako
Kodakata lazima amtete dereva wa mwendo kasi je abiria watafika salama?Huo muda uliyopoteza kuandika hizi pumba si bora ungeutumia hata kwenye kilimo cha nyanya au kufuga hata mayai ya kwale.
Sawa Jesca tumekusikia ni pumba lakini zinakufanya unaweweseka kama kuku mwenye kideriHuo muda uliyopoteza kuandika hizi pumba si bora ungeutumia hata kwenye kilimo cha nyanya au kufuga hata mayai ya kwale.
Bora yanayovutana yafike salama kuliko yanayokimbia yakapata ajali mwendo kasi ni hatari sanaHahahahahaha!! Magari mabovu yanavutana.
mjin....ga wewehizi pumba zako peleka kwa bosi wako lowasa
Uwezo wako wa kufikiri mdogo sana umeshamaliza kazi kachukue buku 7 ukalishe familiaHahahahahaha!! Magari mabovu yanavutana.
Wewe lazima utakuwa baby tu.Sawa Jesca tumekusikia ni pumba lakini zinakufanya unaweweseka kama kuku mwenye kideri