Ni kama vile unajua kitu fulani ila hutaki kukisema.Polisi wanakamata vidagaa tu mhusika mkuu ambae ananuka madeni watamkamsta lini?
Polisi wanakamata vidagaa tu mhusika mkuu ambae ananuka madeni watamkamsta lini?
Ninaishia hapoNi kama vile unajua kitu fulani ila hutaki kukisema.
Lakini safari hii wanacheza na wrong namba. Wahindi sijui waliyo nayo ni KARMA, dua au uchawi lakini si cha kuchezea.Jaribu kunisoma vizuri utanielewa hapo.
Nilikuwa nataka kukuonyesha tu kuwa, kuwa na ulinzi tu huenda kusingezuia kutekwa kwake ikiwa wahusika ni watu wale wale.... Na kujaribu kupambana nao kwa silaha za moto huenda kungeyamalizia maisha yake pale pale. Mpaka saa sote tunakubali kuwa wale sio majambazi, na huenda pia tutakuja kukubali pia wahusika sio watekaji, bali ni watu wale wale.....
Nini kimemkuta mfanyabiashara Zakaria wa kule Mara. Kama asingewazidi nguvu na ujanja wale watekaji, mpaka leo hadithi ingekuwa ni kuwa ametekwa na majambazi au kikundi cha watu wasiojulina.
Tukio la Lissu ni good case study, hakuna mtu anategemea mhalifu wa kawaida anaweza kufanya shambulio la namna ile katika mazingira yenye ulinzi wa kiwango kile na akatoja salama pasipo kukamatwa mpaka leo hii unless awe well protected na system fulani fulani.
Usicheze na hii serikali wewetunamo elekea siko kabisa jamani kweli wawekezaji watakuja kweli
wakati wa tukio la Lissu Moroto alikua RPC TemekeMuroto alishindwa kabisa kuwakamata waliomjeruhi Lissu. juzi kati hapa alikamata malaya na dada poa ambao silaha walokua nazo ni kondom tu kwenye vipochi. Halafu anauza sura kwa tiivii
Bila kukamatwa Bashite Polisi watakuwa hawapo serious.Polisi wanakamata vidagaa tu mhusika mkuu ambae ananuka madeni watamkamata lini?
Ni kweli mkuu....Jaribu kunisoma vizuri utanielewa hapo.
Nilikuwa nataka kukuonyesha tu kuwa, kuwa na ulinzi tu huenda kusingezuia kutekwa kwake ikiwa wahusika ni watu wale wale.... Na kujaribu kupambana nao kwa silaha za moto huenda kungeyamalizia maisha yake pale pale. Mpaka saa sote tunakubali kuwa wale sio majambazi, na huenda pia tutakuja kukubali pia wahusika sio watekaji, bali ni watu wale wale.....
Nini kimemkuta mfanyabiashara Zakaria wa kule Mara. Kama asingewazidi nguvu na ujanja wale watekaji, mpaka leo hadithi ingekuwa ni kuwa ametekwa na majambazi au kikundi cha watu wasiojulina.
Tukio la Lissu ni good case study, hakuna mtu anategemea mhalifu wa kawaida anaweza kufanya shambulio la namna ile katika mazingira yenye ulinzi wa kiwango kile na akatoja salama pasipo kukamatwa mpaka leo hii unless awe well protected na system fulani fulani.
Hata uwe na walinz :wabaya wakidhamiria kukuchukua wanakuchukua. Ni issue ya kustudy nyendo zako tu na timing.Tundu Lissu alipokea kichapo cha kumiminiwa risasi za kivita akiwa na dereva wake katikati mwa eneo lenye utitiri wa walinzi wanaolinda masaa 24. Na kabla ya hapo alianza kupokea vitisho na kufuatiliwa kama chambo. Hapo vipi nako?
ndio sasa wewe unataksjr?Aiseee kumbe hapa kila mtu ni mpelelezi afu kila mtu anamjua sana MO
Si wanae kila sikuPolisi wanakamata vidagaa tu mhusika mkuu ambae ananuka madeni watamkamata lini?
Na wanatii amri zakeSi wanae kila siku