Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
ukitaka kuwajua mabwana zake huyu utachoka wewe Mme kawapanga ka nanii....
Ha ha haaa!

Habar ndugu zngu mi naitwa omary rasuly ngowi natafuta ndgu zangu wakwahupande wa baba kwani mpaka sasa cwajui ndugu zngu kwn baba amefariki nikiwa nina miaka 5 na mama pia kafa nikiwa ninamiaka miaka6.so nahitaji kuwajua ndgu zangu popote walipo hli kwani nimelelea kikeni rkn kiumeni siwajui..so nmba yngu yasm ni hyo0654050657..mweny taarfa tafadhl 2wacliane
Umefurahieee....habari ya ibada....
Hii thread ilinipitaje!!!? Any way, haki ya nani lazima nirudi kwa Maria Salome!!!!
Ibada ilikua njema sana,jana mapato ya sadaka yaliongezeka...ooh hallelujah!
Habar ndugu zngu mi naitwa omary rasuly ngowi natafuta ndgu zangu wakwahupande wa baba kwani mpaka sasa cwajui ndugu zngu kwn baba amefariki nikiwa nina miaka 5 na mama pia kafa nikiwa ninamiaka miaka6.so nahitaji kuwajua ndgu zangu popote walipo hli kwani nimelelea kikeni rkn kiumeni siwajui..so nmba yngu yasm ni hyo0654050657..mweny taarfa tafadhl 2wacliane
Huyu kwani leo siku yake ya ibada? Asikudanganye wife ni mpagani huyu