Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Yani leo mpaka umesahau kuita mume wangu... He hee kweli mume anauma japo hana meno
Last edited by a moderator:
Yani leo mpaka umesahau kuita mume wangu... He hee kweli mume anauma japo hana meno
Nimenuna....
Pasuka vizuri
Kupasuka nimegoma, chako ni chako tu mama....
Ha haa kumbe unajaribu kutingisha kiberiti kama kimejaa
We acha tu....afu kibert chenyewe unakuta hakitingishiki...
Wanasema waswahili, wakati ukuta.Yaani kweli wakati umepita lol.
We real miss those old times jamani. Peace to all
Mambo preta upo?
Plz Koku ni PM kuna ishu nataka kukutel
Hivi mmeo uran yuko wapi?
Sio uran bana,sema Nyani Ngabu
Huyo nae mmeanza lini mahaba?
Mbona haijatangazwa? Halafu kwenye vitabu haipo hiyo
Huyo shoga wako mna utani wa ngumi, atuwache tutulie kama kasuku
Huyo nae mmeanza lini mahaba?