Dereva wa Mkuu wa Mkoa

Dereva wa Mkuu wa Mkoa

Smile unaitwa huku muda sasa huonekani.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Huyo dereva yupo Mkoa gani?

Tanga mamii.........enzi hizo JF ilikuwa motomoto kweli kweli.......matrip ya kufa nyani.........Dar. - Chugga - Tanga..........ilikuwa ni sheeeeeder................members wa kila aina........tunakula bata mpaka kuku wanashikwa na mdondo..........wacha kabisa.........

Mwaka huu Desember tuna safari ya Pemba Mozambique........utatujoin.......?
 
Tanga mamii.........enzi hizo JF ilikuwa motomoto kweli kweli.......matrip ya kufa nyani.........Dar. - Chugga - Tanga..........ilikuwa ni sheeeeeder................members wa kila aina........tunakuta bata mpaka kuku wanashikwa na mdondo..........wacha kabisa.........

Mwaka huu Desember tuna safari ya Pemba Mozambique........utatujoin.......?

Umemweleza vizuri sana, sasa aje amuone huyo dereva
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom