Dereva wa Mbowe yuko wapi?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Katika sakata la Mbowe kushambiliwa Mguu wake ninawashauri "makamanda" watanue akili na kujiuliza Dereva wake alikuwa wapi wakati Mbowe anapanda ngazi ya mlango wake?

Alimshushia nje ya geti?

Nani alifungua geti gari likaingia ndani?

Kuna maswali mengi zaidi ya majibu.
 
Mlipo anza kujadili bungeni haraka tuu kwa nini msisubiri upelelezi wa polisi juu ya majibu hayo toka kwa dereva?

Wabunge wa CCM ujinga mmeuona kama sifa ya ziada. Lakini wapo wabunge makini na wenye akili huwezi kuwakuta wanajadili mambo ya kipumbavu kama haya.

Mbona Makamba, Chenge, Zungu nk hawajiingizi kwenye ujinga? Kila siku Ndugai atawashirikisha wabunge wajinga Msukuma, Lusinde, Mlinga Juliana Shonza na timu mpya Lijualikali na Mollel.

Bora taifa kuwa na pandemic kama corona kuliko hasara ya kuwa na bunge LA wajinga kama hili
 
Mlipo anza kujadili bungeni haraka tuu kwa nini msisubiri upelelezi wa polisi juu ya majibu hayo toka kwa dereva?

Wabunge wa ccm ujinga mmeuona kama sifa ya ziada. Lakini wapo wabunge makini na wenye akili huwezi kuwakuta wanajadili mambo ya kipumbavu kama haya.

Mbona Makamba, Chenge, Zungu nk hawajiingizi kwenye ujinga?

Kila siku Ndugai na upumbaf wake atawashirikisha wabunge wajinga Msukuma, Lusinde, Mlinga Juliana Shonza na timu mpya Lijualikali na Mollel.

Bora taifa kuwa na pandemic kama corona kuliko hasara ya kuwa na bunge LA wajinga kama hili
Yes, we can manage better with corona than these stupid nincompoops!
 
Wakudadavuwa,

Pia Nani alimpeleka hospital? Kwanini alienda kituo Cha afya Cha binafsi badala ya hospitali ya serikali? Walikuwa wanataka kuficha Nini?

JamiiForums-1006856497_357x433.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Dereva huta kaa umuone kamwe,usikute Tayari yupo nje ya nchi,maana Dereva ataeleza mkanda mzima,Mboye ninaye mfahamu mm ana bastola mfukoni halafu umvamie umpige akuache?hawa washatuona Watanzania wapuuzi Sana, halafu kakupigepige tu wasikupe jeraha sehemu nyingine ya mwili Bali kukuvunja mguu tu, tena siyo kukuvunja Bali kukutengua, mijitu mizima inaongea uongo mchana kweupeee bila aibu Wakudadavuwa
 
Huyo Dereva huta kaa umuone kamwe,usikute Tayari yupo nje ya nchi,maana Dereva ataeleza mkanda mzima,Mboye ninaye mfahamu mm ana bastola mfukoni halafu umvamie umpige akuache?hawa washatuona watanzania wapuuzi Sana,halafu kakupigepige tu wasikupe jeraha sehemu nyingine ya mwili Bali kukuvunja mguu tu,Tena siyo kukuvunja Bali kukutengua,mijitu mizima inaongea uongo mchana kweupeee bila aibu
Only in Tanzania. Mtu kateguka mguu kakodiwa ndege.
 
Kuanua akili kupi huko?

Dereva hamjaambiwa hayupo, yupo; sasa pressure zenu za nini?!

Wewe unamuulizia dereva wa Mbowe mnataka kurudia kutengeneza kama ile story ya dereva wa Lissu?

Wacheni vyombo vya ulinzi vifanye kazi yake, jana bungeni Spika na wabunge wenzake wa CCM wanaropoka Mbowe alikuwa amelewa halafu wanasema tuviachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake!, haoni kama kwa maoni yake ameshaingilia kazi ya vyombo vya ulinzi?

Mnajiegemeza kwenye utetezi wa Mbowe alikuwa amelewa, lakini hamjui kama mtu akilewa hawezi kushambuliwa!, hizi ndio akili za watunga sheria wa CCM!.
 
Wakudadavuwa

Wakudadavua , Hivi com Mawazo naye dereva wake alikuwa wapi ?!. Wale vijana wa Nyamongo nao walilewa ?!

Umeshawahi kujiuliza juu ya kauli za uvccm (green guards). Kwa kauli zile unakosaJe la kujiuliza kwao ?!
 
Wakudadavuwa,

Hawatajibu kwa sababu wamekuja na hoja ya nguvu badala ya nguvu ya hoja. Na je hana walinzi binafsi? Walikuwa wapi? Hao washambuliaji waliingilia wapi? Ina maana nyumba pia haina walinzi? Anawezaje kuishi hana walinzi binafsi wa kutembea nao na wale wa nyumbani? Sijaelewa hapa.
 
Wakudadavuwa,

Ni tatizo la kuwa na viwango duni ktk siasa. Inafikia hatua tunajadili matendo ya kihuni ya mtu anayeungwa mkono na wahuni wenzake. Eti Bulaya alishajua mguu wa kulia umevunjika. Busara ndogo ya aina hii ni tatizo! Bahati mbaya sana!
 
Huyo Dereva huta kaa umuone kamwe,usikute Tayari yupo nje ya nchi,maana Dereva ataeleza mkanda mzima,Mboye ninaye mfahamu mm ana bastola mfukoni halafu umvamie umpige akuache?hawa washatuona Watanzania wapuuzi Sana, halafu kakupigepige tu wasikupe jeraha sehemu nyingine ya mwili Bali kukuvunja mguu tu, tena siyo kukuvunja Bali kukutengua, mijitu mizima inaongea uongo mchana kweupeee bila aibu Wakudadavuwa
Ukiishi kwenye jamii yafahamu mazingira yako na hulka ya unaotangamana nao. Kadhia na misuguano iliyopo baina ya chama kilichoshika dola na Chadema inafahamika ipoje, hii ni kutokana na historia ya mwenendo wa hao wawili. Unafikiri Mbowe anaweza akazusha kisa juu ya hili? Sidhani!
 
Na mimi nauliza hao walinzi wengine wanaokaa kwenye vibuyu nk walikuwa wapi?

1591769991515.png
 
Back
Top Bottom