Dereva wa boda boda na sms.

Dereva wa boda boda na sms.

Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
1,430
Reaction score
1,789
Inakuwaje pale unapokuwa umepanda boda boda alafu dereva mara ana pokea meseji kwenye simu yake na kuanza kujibu !
 
...nampiga konzi...oooh!! Kumbe ana helmeti..namwambia simama, nikishuka namwambia endelea na safari...
 
Back
Top Bottom