Na pia swala la abiria kufahamu kwamba kuna App imeanzishwa ni jukumu la UDART. Hapo wanatakiwa kuwatangazia abiria wakiwa wanasafiri ndani ya basi pia wakiwa kituoni wanasubiri basi. Hivyo wengi kutoifahamu hiyo App pengine matangazo hayajatolewa vyakutosha. Kuna haja ya kuwekeza kwenye...