Shosti, kaa ukijua biashara ya taxi wewe walipwa 15,000?= hata kama dereva katengeneza laki 3.
Mii naona yaumiza moyo, kwani service na matengenezo wayafanya wewe,[
na madereva wengi hawana uchungu na chombo na si watunzaji.Q
KITUNZE KIDUMU wahenga walisema.