Salahan JF-Expert Member Sep 10, 2014 2,963 3,685 Feb 15, 2017 #2 Njia ya magar ndio imekuwa njia ya maji
kbosho JF-Expert Member Jun 4, 2012 13,034 6,571 Feb 15, 2017 #4 badala ya kufanya jitiada za kuokoa na ushauri...mnabaki kupiga Picha. swali je walio ndani ya Gari walipona?
badala ya kufanya jitiada za kuokoa na ushauri...mnabaki kupiga Picha. swali je walio ndani ya Gari walipona?
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Sep 19, 2016 5,249 6,114 Feb 15, 2017 #6 mkuu hii picha yangu umeipatia wap
Pastor Achachanda JF-Expert Member May 4, 2012 3,023 1,315 Feb 15, 2017 Thread starter #7 mjumbe wa bwana said: mkuu hii picha yangu umeipatia wap Click to expand... Kwenye whatsapp
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,197 128,153 Feb 15, 2017 #8 Hii picha ni mfano wa Tanzania inavyozamishwa.
Ranks JF-Expert Member Oct 21, 2012 2,583 1,097 Feb 16, 2017 #10 Mmh!!!Kwa Mitsubishi canter au Isuzu sithubutu maubishi hayo labda iwe Scania (mende)au Nissan Mitsubishi.
Mmh!!!Kwa Mitsubishi canter au Isuzu sithubutu maubishi hayo labda iwe Scania (mende)au Nissan Mitsubishi.
Pastor Achachanda JF-Expert Member May 4, 2012 3,023 1,315 Feb 16, 2017 Thread starter #11 Ranks said: Mmh!!!Kwa Mitsubishi canter au Isuzu sithubutu maubishi hayo labda iwe Scania (mende)au Nissan Mitsubishi. Click to expand... Waterwheel
Ranks said: Mmh!!!Kwa Mitsubishi canter au Isuzu sithubutu maubishi hayo labda iwe Scania (mende)au Nissan Mitsubishi. Click to expand... Waterwheel