Imphuvyi
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 224
- 155
Habari za wakati huu wakurungwa!
Rafiki yangu ana uhitaji kwa pikipiki ya kuendesha kwa mkataba.
Anaishi mbagara, ni mtu wa singida,
Ana umri wa miaka 32
Kwa yeyote ambae anafanya biashara za aina hii, na ana pikipiki imepaki, naomba amsaidie ampatie chombo wafanya kazi
Namba yake ya simu 0655653499. Jina laki ni JUMA.
Nawasilisha