Dereva nusra aue mtu kwa kuitwa Bashite

Sory mkuu kwani huyo bashite ndo nani maana hili jina limekuwa maarufu sana [emoji134]
Maana yake ni Zero harafu kuna mdau kaongeza kuwa Bashite hata marinda hayapo
 
Neno bashite lina maana nyingi:
1. Ubashite wa kupata ziro
2. Ubashite wa kugushi
3. Ubashite wa kupoteza marinda
....

Ni haki ya dereva kukasirika

4. Bashite jambazi in Gwajimaz voice
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…