Yes ni kweli kuna same na sehemu nyingine ambayo nimeshuhudia iyo ni lushoto juu uko ndio ivo ivoSame moja hiyo!!
Kuna sehemu kama hizo same milimani
Vunta miambamiamba nk
Pakistan to Bolivia?!!cheki ramani yakoBarabara nyingi za Pakistan kwenda India, Afghanistan na Bolivia ni za mtindo huo, kuna milima huko balaa. Halafu ajali ni nadra sana.
Hujaona jamaa wa mbele ameovertake?Ee hiyo shida mkuu hapo over take hata uwe na kihelehele vipi huwezi fanya
Sijasema Pakistani to, nimesema Pakistani na.Pakistan to Bolivia?!!cheki ramani yako
Kijijini kwetu...Ni wapi huko kiongozi?
Hapo ni rohokwarohoSENKENKE ONE