Dereva fundi

Faida ya kujenga bila mpangilio at last imeokoa maisha hapo
 
Aaaah hapo unaingia dereva unaiwasha,unaweka handbrake then unaingiza gear,unakanyaga moto bati halafu unashusha handbrake na kuachia clutch kwa wakati mmoja.....lazima itoke....usisahau gear ni reverse sio namba moja!

Hii timing inahitaji meditation kubwa
 
Imenikumbusha ajali flani iliwahi kutokea huko upareni milimani ambapo canter ilikaa juu ya paa la nyumba.
 
Aaaah hapo unaingia dereva unaiwasha,unaweka handbrake then unaingiza gear,unakanyaga moto bati halafu unashusha handbrake na kuachia clutch kwa wakati mmoja.....lazima itoke....usisahau gear ni reverse sio namba moja!

Front tyre ziko hewani na ninavyojua ndiyo zinazovuta gari!
 
Aaaah hapo unaingia dereva unaiwasha,unaweka handbrake then unaingiza gear,unakanyaga moto bati halafu unashusha handbrake na kuachia clutch kwa wakati mmoja.....lazima itoke....usisahau gear ni reverse sio namba moja!

What if ni front drive??? Na kama ni automatic???
 
Vitara ni 4wd.....Unafanya hivyo hivyo kama ni auto....mguu wa kushoto kwenye brake,wa kulia kanyaga wese bati then achia brake pedal rapidly!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…