Dereva Bajaji ana Maisha Mazuri Kuliko Watumishi wa Umma

Watumishi wa Umma ni kundi la watu Maskini wanaojitahidi sana kuficha Hali Yao Kwa kupasi nguo..

Dereva Bajaji anaepeleka hesabu ya 20,000 Kwa boss wake ana maisha Mazuri kushinda Watumishi karibia robo tatu wa Umma.

Dereva Bajaji akikosa sana Kwa siku baada ya kutoa ya boss ni anabakiwa na 30,000-40,000 take home ambayo ni sio chini ya 1,000,000 on average hapo hana gharama za usafiri Kwa familia yake au kwenye mishe zake maana atatumia hiyo hiyo bajaji ya boss..

Ni Watumishi wangapi wa Umma wanapata milioni Moja Kwa mwezi hata wakiwa na hizo posho? Binafsi ni mtumishi wa Umma naongea ambacho Nina uhakika nacho.Hata Mimi mwenyewe hiyo take home ya milioni Moja naiona kwenye basic tuu sio take home,Laiti ningekuwa nafanya kazi sehemu ambayo Haina posho ningeadhirika,huu ndio ukweli.

Sasa chukukia Watumishi wengi wa Umma pamoja na Mishahara midogo Kuna wanapata posho ila unakuta posho zenyewe hazifiki hata Laki 5 Kwa mwezi,huyu atachaje kuwa na maisha magumu sawa na bodaboda?

Kwa dereva Bajaji yeye alifanya kazi miaka 2 tuu ananunua Bajaj yake lakini Watumishi wako kazini miaka na miaka kujenga tuu Hadi Mkopo na nyumba xinaishia njiani.

Mwisho Serikali iache kudhalilisha Watumishi,iwaongezee Mishahara Ili wapate hadhi inavyostahili badala ya kudharaulika Kila siku na ndio sababu ya wake zao wengi kugongwa hovyo na madereva Bajaji na Bodaboda maana wao Wana uhakika wa supply ya pesa na ule usafiri unawapa hadhi kushinda Mtumishi.
Mkuu nimekaa na bodaboda na bajaji

Hizo hesabu usizisikie kwa story tu

Waulize wanabaki na ngapi mwisho wa mwezi

WATUMISHI WA UMMA ATLEAST KUSIWEPO NA HATA MMOJA ANAEPOKEA CHINI YA MIL 1 , na waweke mikataba lets say 5 years wanarenew

Hasa waalimu ,polisi , mahakama na madaktari
 
Boda boda zilikua zinalipa zamani miaka 2010- 2915,siku hizi zimekua nyingi sana,pia inategemea na Location.Sio kila sehemu boda boda zinalipa.Walimu huwezi kuwalinganisha na boda,kwanza nanuaga nawapa wanaleta hesabu.Yani ninunue boda afu mfanyakazi wangu awe bora.Kwa taarifa yako nyingi sio zao
 
Sorry 2010-2015
 
Watumishi wa Umma ni kundi la watu Maskini wanaojitahidi sana kuficha Hali Yao Kwa kupasi nguo..

Dereva Bajaji anaepeleka hesabu ya 20,000 Kwa boss wake ana maisha Mazuri kushinda Watumishi karibia robo tatu wa Umma.

Dereva Bajaji akikosa sana Kwa siku baada ya kutoa ya boss ni anabakiwa na 30,000-40,000 take home ambayo ni sio chini ya 1,000,000 on average hapo hana gharama za usafiri Kwa familia yake au kwenye mishe zake maana atatumia hiyo hiyo bajaji ya boss..

Ni Watumishi wangapi wa Umma wanapata milioni Moja Kwa mwezi hata wakiwa na hizo posho? Binafsi ni mtumishi wa Umma naongea ambacho Nina uhakika nacho.Hata Mimi mwenyewe hiyo take home ya milioni Moja naiona kwenye basic tuu sio take home,Laiti ningekuwa nafanya kazi sehemu ambayo Haina posho ningeadhirika,huu ndio ukweli.

Sasa chukukia Watumishi wengi wa Umma pamoja na Mishahara midogo Kuna wanapata posho ila unakuta posho zenyewe hazifiki hata Laki 5 Kwa mwezi,huyu atachaje kuwa na maisha magumu sawa na bodaboda?

Kwa dereva Bajaji yeye alifanya kazi miaka 2 tuu ananunua Bajaj yake lakini Watumishi wako kazini miaka na miaka kujenga tuu Hadi Mkopo na nyumba xinaishia njiani.

Mwisho Serikali iache kudhalilisha Watumishi,iwaongezee Mishahara Ili wapate hadhi inavyostahili badala ya kudharaulika Kila siku na ndio sababu ya wake zao wengi kugongwa hovyo na madereva Bajaji na Bodaboda maana wao Wana uhakika wa supply ya pesa na ule usafiri unawapa hadhi kushinda Mtumishi.
Mungu aliweka hivi vitu visaidiane!
Usiwadharau watumishi hata kama mishahara yao ni midogo!

Halafu huyo huyo mtumishi ndiye aliyekufundisha kusoma na kuandika mpaka unakuja kumdharau leo!
 
Sio bajaji tu yaani hata mimi mwenye saloon namzidi mtumishi wa umma,ila watanzania kuwaelewa ni kazi unaweza kuta mtu anaingiza 200k per month na bado anakuvimbia
 
Watumishi wa Umma ni kundi la watu Maskini wanaojitahidi sana kuficha Hali Yao Kwa kupasi nguo..

Dereva Bajaji anaepeleka hesabu ya 20,000 Kwa boss wake ana maisha Mazuri kushinda Watumishi karibia robo tatu wa Umma.

Dereva Bajaji akikosa sana Kwa siku baada ya kutoa ya boss ni anabakiwa na 30,000-40,000 take home ambayo ni sio chini ya 1,000,000 on average hapo hana gharama za usafiri Kwa familia yake au kwenye mishe zake maana atatumia hiyo hiyo bajaji ya boss..

Ni Watumishi wangapi wa Umma wanapata milioni Moja Kwa mwezi hata wakiwa na hizo posho? Binafsi ni mtumishi wa Umma naongea ambacho Nina uhakika nacho.Hata Mimi mwenyewe hiyo take home ya milioni Moja naiona kwenye basic tuu sio take home,Laiti ningekuwa nafanya kazi sehemu ambayo Haina posho ningeadhirika,huu ndio ukweli.

Sasa chukukia Watumishi wengi wa Umma pamoja na Mishahara midogo Kuna wanapata posho ila unakuta posho zenyewe hazifiki hata Laki 5 Kwa mwezi,huyu atachaje kuwa na maisha magumu sawa na bodaboda?

Kwa dereva Bajaji yeye alifanya kazi miaka 2 tuu ananunua Bajaj yake lakini Watumishi wako kazini miaka na miaka kujenga tuu Hadi Mkopo na nyumba xinaishia njiani.

Mwisho Serikali iache kudhalilisha Watumishi,iwaongezee Mishahara Ili wapate hadhi inavyostahili badala ya kudharaulika Kila siku na ndio sababu ya wake zao wengi kugongwa hovyo na madereva Bajaji na Bodaboda maana wao Wana uhakika wa supply ya pesa na ule usafiri unawapa hadhi kushinda Mtumishi.
Achana na utumishi wa umma ukaendeshe Bajaji
 
Acha kupotosha mimi ni mtumishi wa kawaida Sana bajaji ninazo mbili Tena kila baada ya miaka 2 nauza na kufunga mpaya ila maisha ya wanayoendesha hizo bajaji ni kawaida ukinilinganisha nao na mtaji niliupata katika utumishi wangu
 
Back
Top Bottom