Derby ya Pepsi na Coca Konde-Boy Okoa Coca

Derby ya Pepsi na Coca Konde-Boy Okoa Coca

The power of BRANDING.

Niliwahi kuwazungukia sana hao jamaa wakati nafanya research ya CELEBRITY ENDORSEMENTS TOWARDS BRAND IMAGE IN THE SOFT DRINK INDUSTRY IN TZ.

Mtoa maada nimeona hapo umewataja hao jamaa wawili kwamba mmoja anaweza kucompete na mwenzake wakiingia kubrand vitu sidhani kama upo sahihi.....

Fuatilia sababu ya mmoja wao kutemwa na kampuni nyingi ikiwemo moja ya SOFT drinks pia utanielewa....

Sio kila msanii mkubwa anafaa kuwa brand ambassador, big NO

Baadhi ya vitu ambavyo vinakufanya uchukuliwe kuwa balozi
1. POWER DISTANCE & MASCULINITY (unaipata ukigusa consumer behaviour) .......hapa inamatter sana kama tunachagua gender ya balozi (me &ke) hizo ndo sababu za msingi.
2. Influence
3. Image
4. Credibility
5. Reputation.

Hizi sababu zinakupa swali mwenyewe ujiulize kwamba why kampuni nyingi kubwa duniani zinapenda sana kuwatumia WAHINDI kama brand ambassadors globally....kuna akina SHARUKH KHAN apple, Alia Bhatia nadhani ni MCDONALD kama nakumbuka vyema......Amir Khan....Samsung etc....

Then nimeona watu wanachanganya FRANCHISING & LICENCING......

Mkuu ni hayo tu, nimeipenda sana thread

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkuu ongeza nyama sababu ya konde kutemwa na sayona
 
Mwanaume kabisa unakunywa soda!!!!???.....
Kuna dhana isiyothibitishwa kuwa wale wanaopambana na majambazi sugu yanayofungwa jela na kurudi uraiani kabla ya vifungo vyao kwisha; kusumbua watu uraiani huwa Coca inatumika kuwamalizia, anapewa analazimishwa kuimaliza alafu wanamshika kumchekecha wakimuachia tu anakuwa wa mochuari bila alama ya jeraha la kipigo wala kulishwa sumu.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Uongo wa mchan huu
 
Back
Top Bottom