Derby ya Pepsi na Coca Konde-Boy Okoa Coca

Niliacha kunywa Coca mwaka 1999 nikiwa abroad (Nairobi - Kenya) baada ya hiyo soda kunipalia vibaya sana.

Coca naichukia sana

Turudi kwa Pepsi
Pepsi ni kubwa Jinga Flani halina ladha wala nini linabebwa na Matangazo.

Soda yangu Pendwa nikiwa na Muda ni Mirinda Nyeusi Japo ina sukari Nyingi ila ndio hivyo tena tamu kama K
 
Mwarabu alibuni formula yake kiweledi wa hali ya juu, Sprite ndiyo flagship ya kampuni ya Coca-Cola. 7Up wameiga lakini wameshindwa.

Sprite haiishagi gesi. Ni clear hata kwa macho unaweza kuona hata kama kuna residuals. Ni safe.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
mkuu unajua maana ya flagship?
flagship ya Coca-Cola group ni soda ya Coca-Cola, na flagship ya Pepsi Inc ni Pepsi.............

hizo zingine huwa zinafanya vizuri sokoni ila sio flagship
 
Niliwahi kusikia Pepsi waliiba formula ya Coca na kuiboresha.

Huenda kwa kufanya hivi walifanikiwa kuliteka soko.

Japo Kibongo bongo hii Kampuni ya Coca inabidi ipunguze Ubahili kwenye kuipromote Soda yao.

Naona tangu Mzee Mengi afariki Dunia ni kama wale Wahindi aliowaajiri pale Mikocheni wanataka kumhujumi.
 
Niliacha kunywa Coca mwaka 1999 nikiwa abroad (Nairobi - Kenya) baada ya hiyo soda kunipalia vibaya sana.

Coca naichukia sana

Turudi kwa Pepsi
Pepsi ni kubwa Jinga Flani halina ladha wala nini linabebwa na Matangazo.

Soda yangu Pendwa nikiwa na Muda ni Mirinda Nyeusi Japo ina sukari Nyingi ila ndio hivyo tena tamu kama K
K = Koka au?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Niliwahi kusikia Pepsi waliiba formula ya Coca na kuiboresha.

Huenda kwa kufanya hivi walifanikiwa kuliteka soko.

Japo Kibongo bongo hii Kampuni ya Coca inabidi ipunguze Ubahili kwenye kuipromote Soda yao.

Naona tangu Mzee Mengi afariki Dunia ni kama wale Wahindi aliowaajiri pale Mikocheni wanataka kumhujumi.
Bonite ya Mengi haiuzwi Dar na wala Mengi hana ushirika wa biashara na Coca-Cola Kwanza ya Mikocheni.

Coca-Cola industry imegawana maeneo ya biashara kikanda kwa nchi zote duniani. Kwa Tz iko hivi:-

1. Coca-Cola Kwanza inauza Kanda ya Pwani, Mashariki na Nyanda za Juu Kusini.

2. Nyanza Bottling ya Gachuma inauza Kanda ya Ziwa.

3. Bonite Bottling ya Mengi inauza Kanda ya Nyanda za Juu Kaskazini.

Pepsi iko nchi nzima.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Ujio wa pepsi Big nadhan ilikuwa moja ya best move kwa Kampuni ya Pepsi ambayo imewabeba sanaa kujibrand
SBC Tz Ltd (Pepsi) imewekeza sana kwenye matangazo.

Kama telecom industry. Operators ili kukamata market share wamejipa mikakati ya kibiashara kwa kujipa dhima:-

1. Airtel wanaamini katika wateja. Hii ndiyo concern yao namba moja ambako ndiko wanakoweka nguvu kubwa.

2. Tigo wanaamini katika matangazo. Hii ndiyo concern yao namba moja ambako ndiko wanakoweka nguvu kubwa.

3. Vodacom wanaamini katika teknolojia. Hii ndiyo concern yao namba moja ambako ndiko wanakoweka nguvu kubwa.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Niliwahi kusikia Pepsi waliiba formula ya Coca na kuiboresha.

Huenda kwa kufanya hivi walifanikiwa kuliteka soko.

Japo Kibongo bongo hii Kampuni ya Coca inabidi ipunguze Ubahili kwenye kuipromote Soda yao.

Naona tangu Mzee Mengi afariki Dunia ni kama wale Wahindi aliowaajiri pale Mikocheni wanataka kumhujumi.
Kampuni zenye soda za Coca Cola hapa Tanzania ni Bonite Bottlers Ltd iliyoasisiwa na Mengi (RIP) na Coca Cola Kwanza Ltd.

Siyo kila soda ya Coca ni ya Mengi
 
Back
Top Bottom