Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,701
- 13,672
Coca ni ya ovyo.Sijawai kuielewa ladha ya coca
Coca ni ya ovyo.Sijawai kuielewa ladha ya coca
Tupo sawa mkuuSijawahi kuielewa ladha ya Pepsi
Kwenye harusi siku hizi Wagalatia (walevi) wanahakikisha soda na juisi zimekauka ndiyo wanahamia kwenye bia ili wapate kukojoa soda na juisi zote.Nyie ndio wale mkifika sehemu mnaanza na coca,hadi unaishia super komando
Nishajaribu lakini inanishinda, nafikiri nipo adicted na Coca, maana nikiamka na hangover nikipiga moja tu nakuwa sawa



Soda unakunywa inaukakasi kabisaCoca ni ya ovyo.
Ewaww. Tena iwe baridiiii na umekula nyama ugaliSoda n mirinda nyeusi tu
Kwanini sprite ni salama kitaalamu
Mwarabu alibuni formula yake kiweledi wa hali ya juu, Sprite ndiyo flagship ya kampuni ya Coca-Cola. 7Up wameiga lakini wameshindwa.Kwanini sprite ni salama kitaalamu
Ludacris
Mkuu hivi huyo mtoto kwenye avatar yako ni wa jinsi gani, itapendeza jibu likiwa moja kati ya haya matatu (wa kike, wa kiume, sijui), na si vinginevyo



Kabisa hawawez elewa hv vitu🤣🤣🤣 au mishkaki.
Wale wa pombe watupishe tafadhali
MeMkuu hivi huyo mtoto kwenye avatar yako ni wa jinsi gani, itapendeza jibu likiwa moja kati ya haya matatu (wa kike, wa kiume, sijui), na si vinginevyo
Me napendelea zaidi bia lakini nitakapolazimika kunywa soda kama sprite haipo bora ninywe maji tuu!
Kwa hang over piga Fanta ww ndo siri mkuuNishajaribu lakini inanishinda, nafikiri nipo adicted na Coca, maana nikiamka na hangover nikipiga moja tu nakuwa sawa
Baba zako wadogo tukiwa tunajadili mstakabali wa soda kitaifa usiwe unataja hizo juisiVinywaji vyote hivyo mi takataka mbele ya stone tangawizi