Derby ya Kariakoo isiamuliwe na Mtanzania tena

de Gunner

JF-Expert Member
Nov 2, 2021
1,941
4,348
Though league yetu bado iko nyuma sana katika aspect ya referees. Ila isiwe hadi kwenye Dabi... makosa yaleyale na hata hao referees tunaodhani hawawezi kukosea?

Mechi ya juzi tumenyongwa wanasimba... tuichukulie Dabi serious, especially kama tunaamini ni ya 3 kwa bora africa. Vilabu vyetu ni vikubwa hili la kuchezesha dabi kama mechi za ndani ni kushusha thamani.

Soma Pia: FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024
 
Ngoja nao waonje machungu tu, maana hivi vilabu vikubwa viwili huwa vinabebwa sana vinapocheza na vile vidogo kama akina Ihefu.

VAR iko wapi?
Weledi uko wapi?
Ushabiki maandazi mbona unaenea kwenye vitu vya msingi?
Watu wanaingiza siasa kwenye vitu vinavyohitaji taaluma na sayansi zaidi.
 
Unachokiwaza hakina maana yoyote kwa mpira wa Tanzania, viongozi wa hovyo wapo kila mahali nchi hii, haki itarejea pale ambapo kama taifa la wapenda soka wote wanaokwenda uwanjani watabeba silaha zao za baridi (sio za moto) na kuingia nazo uwanjani na waamuzi na mamlaka zikajua tunataka nini heshima itarejea na upuuzi utatamatika katika soka letu
 
Naomba ufafanuzi hivi si mlesema Kama hatuna Imani refa tuje na refa wetu?sasa mnatuchanganya wana Simba
 
Ndo maana nikasema, bora dabi ichezeshwe na wageni.
Hii ni kuonesha madudu yetu kimataifa, hilo swala la mkono wa vigogo lipo toka zamani.
 
Kwamba tuwaige warabu sio?
 
Ndo maana nikasema, bora dabi ichezeshwe na wageni.
Hii ni kuonesha madudu yetu kimataifa, hilo swala la mkono wa vigogo lipo toka zamani.
Kumbe alikuwa Arajiga au Kayoko yule aliyechezesha mechi ya Yanga na Mamelodi, akaishia kulikataa lile goli la mstarini?

^Hakuna mjomba atakayetoka Ulaya ili kuja kutuletea maendeleo,^ ndivyo alituasa Anko Joni.

Mtaendelea ku-outsource na kuliwa pesa na kupoteza ajira kwa wazawa sababu ya kosa kubwa la kutojua vipaumbele vikuu na jinsi ya kuvitekeleza.
 
Ishu sio maendeleo, hizi timu zinamashabiki nich mzima, hata hao marefa wanakuja wakiwa wameegemea upande mmoja. Wanakua manipulated kirahisi na vigogo.. Maendeleo yanapaswa kuletwa na shirikisho ambao nao ndo walewale tu.

Ajira gani na huku marefa wenyewe vilaza tu.
 
Though league yetu bado iko nyuma sana katika aspect ya referees. Ila isiwe hadi kwenye Dabi... makosa yaleyale na hata hao referees tunaodhani hawawezi kukosea?

Mechi ya juzi tumenyongwa wanasimba... tuichukulie Dabi serious, especially kama tunaamini ni ya 3 kwa bora africa. Vilabu vyetu ni vikubwa hili la kuchezesha dabi kama mechi za ndani ni kushusha thamani.
Mnalalamika sana kwa sababu mlikuwa na matumaini makubwa ya kushinda ila kwa sisi wengine tulikuwa tunawashangaa tu.
Mimi ni mpenzi wa Simba ila nilipoona mechi na Coastal union,nikajua ngoma bado mbichi.

Tatizo lenu mashabiki wengi wa Simba mnaongea hovyo tu na kuwasifu wachezaji na hadi wao wanaingia kwenye upumbavu huo huo wa kujigamba bila kujua mnampa adui tahadhari ajiandae vuzuri kuwakabili.

Kwani mkiwaachia waseme wao mnapungukiwa nini?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Though league yetu bado iko nyuma sana katika aspect ya referees. Ila isiwe hadi kwenye Dabi... makosa yaleyale na hata hao referees tunaodhani hawawezi kukosea?

Mechi ya juzi tumenyongwa wanasimba... tuichukulie Dabi serious, especially kama tunaamini ni ya 3 kwa bora africa. Vilabu vyetu ni vikubwa hili la kuchezesha dabi kama mechi za ndani ni kushusha thamani.

Soma Pia: FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024
Hivi kati ya Simba na Yanga ni yupi alinyongwa zaidi?
1) Ateba alikuwa kwenye eneo la kuotea ila aliachwa akafunge, jitihada binafsi za Diarra ndizo zilizoipa usalama Yanga.
2) Hamza alikuwa mtu wa mwisho na Dube alikuwa ameshamuacha ila anafanya faulo ya wazi kabisa na refa hakumpa kadi nyekundu
3) beki wa Simba anatoa boko, Camara anakuja kucheza mguu wa Musonda badala ya mpira na refa kaacha kutoa penati.
 
Though league yetu bado iko nyuma sana katika aspect ya referees. Ila isiwe hadi kwenye Dabi... makosa yaleyale na hata hao referees tunaodhani hawawezi kukosea?

Mechi ya juzi tumenyongwa wanasimba... tuichukulie Dabi serious, especially kama tunaamini ni ya 3 kwa bora africa. Vilabu vyetu ni vikubwa hili la kuchezesha dabi kama mechi za ndani ni kushusha thamani.

Soma Pia: FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024
Mnatapa tapa sana.
 
Naomba ufafanuzi hivi si mlesema Kama hatuna Imani refa tuje na refa wetu?sasa mnatuchanganya wana Simba
Hawa viumbe walistahili kabisa kuitwa mbumbumbu! Maana kabla ya mechi, mashabiki wengi wa Yanga tulikiwa hatuna imani na Kayoko! Ila wenyewe waliishia tu kutukejeli.

Halafu baada ya mechi, wao eti ndiyo wanamlaumu mwamuzi! Badala ya sisi ambao hatukuwa na imani naye tangu mwanzo!!
 
Though league yetu bado iko nyuma sana katika aspect ya referees. Ila isiwe hadi kwenye Dabi... makosa yaleyale na hata hao referees tunaodhani hawawezi kukosea?

Mechi ya juzi tumenyongwa wanasimba... tuichukulie Dabi serious, especially kama tunaamini ni ya 3 kwa bora africa. Vilabu vyetu ni vikubwa hili la kuchezesha dabi kama mechi za ndani ni kushusha thamani.

Soma Pia: FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024
Makosa ya kibinadamu yapo katika mechi nyingi, sio za derby tu. Makosa hayo pia yameifaidisha 5imba mara kadhaa.
 
Ili Hersi aendelee kuwa 'relevant' Yanga lazima Simba aendelee kunyanyaswa na Yanga. Huo ni mtazamo wangu binafsi😔
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom