Derby ya Boca Junior na River Plate sasa kupigwa Santiago Bernabeu

Mpira ni raha sana kuucheza, kutazama vijana kama hawa wakitinduana. Back in the days tumeenda kucheza na majamaa makubwa ya mtaa wa nne, kuyafunga kikaanza kizaazaa pale yalituchapa tukaokolewa na police. Siku nyingine yakaja kitaani mpira ukachezwa kama dakika ishirini tukaanza kutinduana tukawaweka kati na wao, aisee tuliwachapa wale jamaa mwisho tukapigwa marufuku na wenyeviti wa mitaa kucheza pamoja.
 
Acha ubishi au siku hizi maana ya derby imebadilika?

Derby ...mechi ya mpira WA miguu Kati ya team zinazotoka eneo moja.
Sio hivyo tu,wewe unaongelea local derbies,kama city na United, arsenal vs spurs, Liverpool vs Everton.
Pia kuna zile za timu ya mji mmoja dhidi ya timu ya mji mwingine kama United vs Liverpool, Barcelona vs r.madrid n.k
Derby=an important sporting contest,ni hivyo tu,haijalishi ni kutoka sehemu moja au tofauti,ili mradi kuwe na sababu ya uhasama kati ya timu mbili.
 
Upo sahihi mkuu
 
Waargentina ni miongoni mwa mashabiki wanaopenda mpira kupindukia pale Bernabeu watasafiri na wataenda tuu kuangalia
 
Hamna kitu hapo hii ni janjajanja tu ya kukuza ligi yao ipate more followers. Watu wanajua namna ya kutengeneza global kick
 
Back
Top Bottom