Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,211
Basi hao ni malimbukeniHapana mkuu hajawadharau kawasalimia salamu ya poleni na safari na hongereni kwa mafunzo na nendeni mkatimize wajibu wenu, sasa madogo baadae yakaanza unatukaguaje sisi wewe ni uhamiaji tu duuuh nilinyamaza kimya
Hatari sanaWeee weee balaa la askari mpya ni hatari hasa hawa wa uu mshati mshatii mara full mayoko hata akitembea anawaza hivi hawa wanajua mimi mbaka baka wakienda pass ya kwanza baada ya mafunzo ya awali salaleeee ila wakishakaa mwaka naa kitu hivi basi hivyo muwasehe bure jameeni
😁😁😁 RTS ni jando la hatari.Weee weee balaa la askari mpya ni hatari hasa hawa wa uu mshati mshatii mara full mayoko hata akitembea anawaza hivi hawa wanajua mimi mbaka baka wakienda pass ya kwanza baada ya mafunzo ya awali salaleeee ila wakishakaa mwaka naa kitu hivi basi hivyo muwasamehee bure jameeni
Jambo dogo TU mkuu ushaanza kuwachuria washkaji?Acha nao
Mpaka kufikia 2026 hao uliowaona kwenye basi naamini nusu yao tutakuwa tumeshawafukia ardhini
Hawa jamaa nawachukiaga kinoma hasa pale wanapojifanyaga wapo juu ya sheria,hivyo natema nyongo ili moyo utulieJambo dogo TU mkuu ushaanza kuwachuria washkaji?
Kifo kipo TU. Nitakufa, utakufa, nao watakufa lakini si haja kuonesha unajua Hadi mda wAo wa kufa.
Mshati hauna chochote ndugu yangu,kila anapoenda mwenye mshati(baka baka)na mapolisi wanaenda😱paresheni za ndani na hata za nje ya nchi.Bado hawajazoea vazi huwa kuna kaulimbukeni fulani tu ka muda sasa wangekuwa wametoka kuutafuta mshati si ndo ingekuwa balaa, wasamehe tu watazoea.
Kwa hali hii ya TOZO kila kitu af itokee tu mmoja wao anizingue me bila tatizo lolote lazima nimkate TOZOHao bado wana moto wa mafunzo,ni kawaida hiyo hali,wakitulia mtaani wenye common sense watarudi kukaa sawa,wengine watakuwa na sumu za kudumu.
Uko sawa ila bila kuleta mabishano kila mmoja ana majukumu yake mahala pake na umuhimu wake ila upo utofauti mkubwa sana wa training kati ya hayo maeneo bila kujali salary hilo sikutaka kulisema kwasababu siyo lengo ila nadhani unafahamu kuna training PF hawagusi za TPDF.Mshati hauna chochote ndugu yangu,kila anapoenda mwenye mshati(baka baka)na mapolisi wanaenda😱paresheni za ndani na hata za nje ya nchi.
Kikubwa uzalendo tu haijalishi wanalipwaje.Kwahiyo let them feel proud of their work.
Ndivyo ilivyoUko sawa ila bila kuleta mabishano kila mmoja ana majukumu yake mahala pake na umuhimu wake ila upo utofauti mkubwa sana wa training kati ya hayo maeneo bila kujali salary hilo sikutaka kulisema kwasababu siyo lengo ila nadhani unafahamu kuna training PF hawagusi za TPDF.
Kumbe wakulima mna title sikuizi.... Hongereni, juhudi za sa100 hizoNdio hivyo mkuu nimeshawasamehe maana hata mimi waliniona boya ila baada ya mda kupita wakajua huyu ni mlima parachichi wakanyea coz kuna mkuda akawasanua