Ndio hivyo mkuu nimeshawasamehe maana hata mimi waliniona boya ila baada ya mda kupita wakajua huyu ni mlima parachichi wakanyea coz kuna mkuda akawasanuaBado hawajazoea vazi huwa kuna kaulimbukeni fulani tu ka muda sasa wangekuwa wametoka kuutafuta mshati si ndo ingekuwa balaa, wasamehe tu watazoea.
Hapana mkuu hajawadharau kawasalimia salamu ya poleni na safari na hongereni kwa mafunzo na nendeni mkatimize wajibu wenu, sasa madogo baadae yakaanza unatukaguaje sisi wewe ni uhamiaji tu duuuh nilinyamaza kimyaMatani gani embu tuambie ukute amewadharau halafu WEWE unategemea wanyamaze
Wakubwa zao wanaowaongoza kuwagawa vituo tunafahamiana sasa shida kwenda kukaa nao siti moja huko na miili yetu hii ndio ikawa madharau fullWanakuwaga na kiherehere kinoma hawa.. Afu muda wote hujihisi kama Raia zinawadharau, so hupenda kulazimisha uwatambue. Mbaya zaidi uwe Janki kama wao.
Bora kukutana na Askari Mtu mzima kuliko hivi vidude..
Kwanini mzee damu changa hizoAcha nao
Mpaka kufikia 2026 hao uliowaona kwenye basi naamini nusu yao tutakuwa tumeshawafukia ardhini
Wanamzuka na kazi,na mazingira ya kazi yana ajari nyingiKwanini mzee damu changa hizo
Weee weee balaa la askari mpya ni hatari hasa hawa wa uu mshati mshatii mara full mayoko hata akitembea anawaza hivi hawa wanajua mimi mbaka baka wakienda pass ya kwanza baada ya mafunzo ya awali salaleeee ila wakishakaa mwaka naa kitu hivi basi hivyo muwasamehee bure jameeniBado hawajazoea vazi huwa kuna kaulimbukeni fulani tu ka muda sasa wangekuwa wametoka kuutafuta mshati si ndo ingekuwa balaa, wasamehe tu watazoea.