Aliajiriwa 2001 kama Mwana Sheria Mkuu wa Kahama Mining Corporation Limited.Naomba mnikumbishe alikuwa nabcheo gani hapo
🙂🙂🙂 Haaahaaaa!!!!!! Watu mmepindaMuulize Prof Palemahala Kibudu
Unataka kuolewa kwa mara ya pili au kishika uchumba cha mjukuu wako!Hivi wanaume wameshatupa kishika uchumba?
keshaona upepo wa jiwe utamharibu na kumuua yale mambo ya deal za kijinga jinga hazipo tena,bora akajiandae na ubunge wa kupewa akapumzike huko na sio kutumikia wananchi,maana hii ni nchi ya sogea tukae ndani ya CCM
Aliyewahi kuwa AG ni Johnson Mwanyika. Seems ni ndugu and are all lawyers professionaly.
Unaweza tupa statement mkuu tuone mzawa akiwauza wazawa wenzake kwa mbepari. Hyo ya kimombo na alivyoibadili kwenda kiswahiliNdio yeye chief.....
Nakumbuka mwaka 2004, niliwahi kumponda na empty foil ya chakula cha Sodexho, baada ya kuja kutuliza mgomo tulio ufanya pale Bullyanhulu. Sasa GM alipo omba kuongea na wafanyakazi, Deo akaombwa atafasiri kwa lugha ya kiswahili ili GM ainde sawa na wafanyakazi ambao walikua kidogo lugha ya bepari inawasumbua.... Jamaa hajatuingiza choo cha watoto...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hapo ndipo nilipo patwa na jazba, na kisha nikapaza sauti kwa nguvu nikasema.... MUONGO MKUBWA WEWE, EBU TEREMKA HAPO JUU NA USITUFANYE SISI WAJINGA na kisha nikamponda na ile foil
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni maneno ya umbeya. Hivi ni kitu gani kibaya specificaly alichokifanya ndani ya kampuni au nje ya kampuni?Huyu jamaa fala sana! Kawauza watanzania wengi mno waliokuwa wanafanya kaz acacia! Afu yeye ndiyo chanzo cha yote hayo! Japo umetoka lkn umevuna ila tutakutana kwa MUNGU mpima Haki kwa Wote! F..c[emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako wewe, unaona Waziri ni mtu muhimu sana hata alipwe mshahara mkubwa kuliko internatuonal professionals? Mbona kuna watanzania wanalipwa hata zaidi ya Rais? Hata kwa mataifa yaliyoendelea kama USA, wapo wataalam na CEOs wanaolipwa zaidi ya Rais.Huyo si ndy mbongo aliyekuwa anakula mshahara mkubwa kuliko mtz yoyote mshahara wake tu mawazir na--- hawamfiki
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea usichokijua.kavurunda kwenye makanikia,wameachana.nae
Operator wa dumper au drill rig anahusikaje na Vice President? Aliye karibu na operator ni supervisor wake. Operator is too junior to assess performance of the VP. Hata kwenye perfirmance assessment ya VP hawezi kuulizwa operator.Wewe ulikuwa kwenye bodi hapo acacia?
Au ulikuwa operator wa dumper na drill rig kule pit?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazungumzo hayajafikia wanaanza jitoa
Wafanyakazi wa Barrick miaka ile walikua wakidai haki zao za msingi, na hii ilitokea baada ya wafanyakazi wa migodini kutambua haki zao ambazo walipaswa kuzipata kwenye mikataba ya mwanzo kabisa ambayo Barrick walikuja nayo Tz.Unaweza tupa statement mkuu tuone mzawa akiwauza wazawa wenzake kwa mbepari. Hyo ya kimombo na alivyoibadili kwenda kiswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, naomba nikuulize.....Acheni maneno ya umbeya. Hivi ni kitu gani kibaya specificaly alichokifanya ndani ya kampuni au nje ya kampuni?
Baadhi ya Watanzania wana roho za kishetani. Wakiona mtu yeyote ana mafanikio wanamjengea chuki za wivu bila sababu yoyote ile.
The truth is Deo is super intelligent. Ndiyo maana ukiangalia record yake, hajawahi kufanya kazi za kubahatisha, hajawahi kuhangaika kutafuta kazi. Sitashangaa kusikia siku yoyote yupo mahali pengine Duniani tena kwa nafasi hata ya juu zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kwakifupi sana naomba nihitimishe kwa kusema kwamba.... Deo Mwanyika alikua MAMLUKIUnaongea usichokijua.
Barrick wanamhitaji sana. Yeye baada ya kuona kwenye makinikia kulikuwa na siasa nyingi aliomba asishiriki katika lolote. Na ndivyo alivyofanya. Akaomba apumzike tangu mwakajana. Barrick ndio walikuwa wazito kuridhia ombi lake.
Wale wasiojua wanaweza kuropoka chochote lakini Deo, his level worldwide si kama baadhi wanavyofikiria. He can be at any level in any part of the globe. Mtabakia na majungu na wivu ambao haukusaidii kuongeza hata hatua moja kwenda mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kumsema mtu kwa chochote mpaka uthibitishe. Leo hii mimi naweza kusema mtu yeyote ni mamluki kwa sababu hakuna kinachonizuia kusema lakini mtu makini atasema kuwa mtu fulani anafanya mambo yafuatayo: ......... Kisha watu wataweza kujua kama ni mamluki au hapana. Kusema tu mtu fulani ni mamluki bilabya kueleza anafanya nini, ni uropokaji.Mkuu, kwakifupi sana naomba nihitimishe kwa kusema kwamba.... Deo Mwanyika alikua MAMLUKI
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ni Jiniasi kama Mh. Tundu Lissu, big up mkuu!Deo Mjanja, kausoma Mchezo mzima. Amegundua kuwa Tanzania inaenda kulia muda si mrefu kwa Kuwaingiza hasara BARICK kisa ujinga wa viongozi wetu na soon Tz inapelekwa Mahakama za Kimataifa.
Baada ya Kusoma Upepo kuwa hasira za Jiwe zitaishia kwake, kaamua ajiondoe mapeema! Asomae na aelewe sasa!
Mkuu, naomba nikuulize.....
Hivi uliwahi kufanya kazi na Deo?
Mimi binafsi nimefanya kazi na Deo Mwanyika, tena kuanzia akiwa bado ni mwanasheria wa iliokua Kahama Mining Corporation Limited (KMCL), nakisha Barrick Gold Mining Limited (BGML), nakisha African Barrick Gold (ABG) kabla ya kuitwa Accacia, na hata Deo Mwanyika kufikia cheo cha juu cha Vice President
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kupata kazi kwenye kampuni za watu makini sio kwa wizi ule wa kitoto na ukwepaji kodi wa kutishaWale wasiojua wanaweza kuropoka chochote lakini Deo, his level worldwide si kama baadhi wanavyofikiria. He can be at any level in any part of the globe. Mtabakia na majungu na wivu ambao haukusaidii kuongeza hata hatua moja kwenda mbele.