Deo Munishi na John Mallya wa CHADEMA

Deo Munishi na John Mallya wa CHADEMA

jamaani naangalia ukurasa-EATV nimeona viongozi wa bavicha Dar wakilalamikia waendesha pikipiki kuingia katikati ya jiji. lakini naombeni mnisaidie kunitoa tongotongo jamani. hivi hakuna makabila mengine zaidi ya wachaga wanaoweza kuongoza huko chadema?
nimeshangaa jiji la Dar lililojaa makabila mbalimbali lakini nafasi zote muhimu zinaongozwa na wachaga tu kuanzia mwenyekiti wa mkoa henry kileo kumbe mpaka bavicha mwenyekiti na katibu ni mnishi na malya.
msaada tafadhali, kulikoni wachaga na chadema?
Acha kutumia makalio kufikiria tumia ubongo ukishindwa tumia macho kutazama anza kutanzama bush na ukoo wake hko marekani kama ni mbali tazama ridhiwani na kikwete hao wengine mulize mkeo anaweza kujua zaidi coz binadam tunatofautiana kufikiri mkuu
 
jamaani naangalia ukurasa-EATV nimeona viongozi wa bavicha Dar wakilalamikia waendesha pikipiki kuingia katikati ya jiji. lakini naombeni mnisaidie kunitoa tongotongo jamani. hivi hakuna makabila mengine zaidi ya wachaga wanaoweza kuongoza huko chadema? nimeshangaa jiji la Dar lililojaa makabila mbalimbali lakini nafasi zote muhimu zinaongozwa na wachaga tu kuanzia mwenyekiti wa mkoa henry kileo kumbe mpaka bavicha mwenyekiti na katibu ni mnishi na malya.
msaada tafadhali, kulikoni wachaga na chadema?

wanachangamkia fursa... Wewe umelala... Kwa nini husemi maduka mengi ni ya ma mangi je makabila mengine mbona wapo?
 
Umejuaje ni wachaga, hebu tupe evidence
 
leo ndio mnayajua hayo,hivi mnafikiri kwa huko Ccm ,nyerere hakuyapenda makabila fulani kuwa viongozi wa juu kabisa katika nchi yetu, ni kutokana na hulka zao. Siku Chadema haitokuwa na domination ya wachaga nitawapa kura yangu,lakini sasa hivi weka mbwa na mgombea wa chadema basi kura yangu nitampa mbwa
 
Dr Slaa HAFAI kuwa Raisi wa Tanzania 2015-2020
Dr Slaa ni Miongoni mwa Wanasiasa Wakongwe na
Machachali Hapa Nchini.Harakati zake Zimeanza
Zamani, Tangu Akiwa Mtumishi wa Kanisa Katoliki
(Padre) na Baadae Akafukuzwa Baada ya
Kuonyesha Utovu wa Nidhamu, Inasemekana
Haka Kamchezo Katamu Kalikuwa Chachu ya yeye
Kufukuzwa Upadre.
Nimekuwa Nikijiuliza,
1. Hivi Huyu Dr Slaa Alianza Kuwa na Ndoto za
Kuwa Raisi wa Nchi Hii Tangu Lini??Maana mimi
Nafahamu Alikuwa Padre, sasa Mapadre na Uraisi
katika nchi hii wapi na wapi??Maana Mapadre
Wameapa Kuwa Watumishi wa Mungu hadi Kufa
kwao…..Sasa Huyu Dr Slaa Kabla ya Kuwa Padre
Alikula Kiapo Kipi??
Na Kama aliapa kuwa Mtumishi wa Mungu
(Padre) na Akashindwa…Anawezaje Kunishawishi
Ataweza Kuwa Raisi wa Nchi Hii kwa Kipindi cha
Miaka Mitano??
Lakini Pia Nimekuwa Nikijiuliza
2. Hivi ni Kipi Alichokifanya Dr Slaa Hata
awashawishi Watanzania Hususani Vijana
Kumpigia Kura ili awe Raisi wa Nchi Hii??Maana
Mimi Namfahamu Dr Slaa Kama Mlopokaji,Mtu
Mwenye Jaziba, Mvunja Ndoa za Watu,Ndumila
Kuwili Maana Upadre anautaka,Uccm anautaka
na Uchadema anautaka Pia…..Msela Maana Hadi
leo Hajaoa Licha ya Kuwa na Miaka 72.
3. Jamani Hivi ni kweli Tumekosa Watanzania
Wazalendo,wenye Historia nzuri ,Wenye Elimu na
Wachapa Kazi,Wasio na Kashfa za Ubakaji Hadi
Tumchague Dr Slaa kuwa Raisi wa Nchi Hii??
Ikumbukwe ya Kwamba,Dr Slaa Alilazimishwa
Kugombea Uraisi kwa Ticket ya Chadema mwaka
2010,yeye Hakutaka, Alikuwa Anajua Kabisa
Hawezi Kushinda ndio Maana Aliilazimisha
Chadema Kuingia MKATABA wa Kumlipa Mshahara
na Posho kama Wabunge endapo Atashindwa
kwenye Kinyang’anyiro Hicho.
4. Hebu Tujiuliize Pia..Hivi Historia ya Dr Slaa
Inatushawishi Kumchagua Kuwa Raisi wa Nchi
Hii??Maana mimi naona Hostoria yake
Imepindapinda kama Zigzag Line…….
Kiukweli Kabisa,Dr Slaa ni Mroho wa
Madaraka,Mbinafsi kama Freeman Mbowe…ndio
maana Alivyokatwa jina lake katika kura za maoni
ndani ya CCM mwaka 1995 Akaamua Kukimbilia
Chadema.Huwezi Kusema Dr Slaa Anaipenda
Chadema Maana Bila Kukatwa jina,asingekuwa
Chadema Hivi Leo….
UFUPISHO
Dr Slaa Hafai Kuwa Raisi wa Nchi Hii kwa Sababu
1. Sio Muaminifu, Haaminiki Sio kwenye Masuala
ya Kiutawala tu bali hadi kwa Vimada wake..
2. MUHAFIDHINA, Akichaguliwa, Hata Kubali
Kutoka Madarakani,atakuwa King’ang’anizi kama
Museven…
3. Hana Uwazi, Ameshindwa Kusimamia Usomwaji
wa Taarifa ya Mapato na Matumizi ndani ya
Chadema…
4. Mgonjwa, Anaumwa Kisukari na
Pressure….Taifa Linaweza Kula Hasara za Kufanya
Uchaguzi Mwingine Katikati ya 2015-2020 Maana
Afya ya Mtu Huyu ni kama Mvua za Dodoma…..
Vijana Tutafakari kwa Kina….Nani Anatufaa Lakini
Tusipoteze Muda Kumfikiria Dr Slaa…
Viva Vijana Vivaaaaa……..

Mulugo ametuachia janga.
Soma topic ya buku7 mwenzako relate na ulichoandika halafu mjadiliane
 
ujinga na upumbavu kwa wengine kuhoji kabila lakini kwa wachaga kuhoji kwanza huyu ni mchaga mwenzetu au vipi ni sawa? nenda Moshi katake kugombea ndio utajua adha ya hawa jamaa
 
Henry kilewo ni katibu kanda ya dar es salam wa DAR toka mwanga na sio mwenyekiti, mwenyekiti bavicha ni mkuryia wa Tarime, na katibu wake ni Deo ni wa Dar toka moshi
Mallya ni simanjiro

Haya editi sasa thread yako uliza swali sasa, kama hoja ya ukabila hapo hakuna na imechuja sasa hapo kuna (mkurya, mmasai, mchaga)

Usimlazimishe kurekebisha thread kwani alilolisema ni kweli kabisa
Kileo ni Mchagga hata km ni wa chekereni au Himo au Mwanga asili ni asili tu
Mallya Babangu huwezi danganya eti ni Millya
Mallya km sio Mkibosho basi ni jamii hiyohiyo hawezi kuwa ahamie Simanjiro ukabila ufe
Mtoto wa nyoka hawezi kuwa wa Jogoo
 
Kinachotafutwa kwa MCHAGA haswa ni nini??
Hatakiwi ktk hii nchi, ktk uongozi au ni nini??
Tunakoenda itafika mahali mtasema wachaga wametuzidi sana sasa Wauwawe.
Mchaga hatakiwi kuwa kiongozi ktk hii nchi, kamfufueni Nyerere
 
Henry kilewo ni katibu kanda ya dar es salam wa DAR toka mwanga na sio mwenyekiti, mwenyekiti bavicha ni mkuryia wa Tarime, na katibu wake ni Deo ni wa Dar toka moshi

Mallya ni simanjiro

Haya editi sasa thread yako uliza swali sasa, kama hoja ya ukabila hapo hakuna na imechuja sasa hapo kuna (mkurya, mmasai, mchaga)

Mchaga akizaliwa Dar anakuwa mzaramo? Mallya ni mmachame hata kama amezaliwa Simanjiro
 
mbona nafasi za juu serikalini zimeshikwa na waislam.?na wakristo wapo kibao.acheni kufikir kwa kutumia meya wa jiji la dsm

Acha udini we Boya,Ikulu ndio kila kitu lkn mawaziri wote wakristo,makatibu wote wakristo, katibu kiongozi na msaidizi wake ni wakristo,Waziri mkuu ni gogo la kikatoliki,kama Raisi angekuwa mdini asingefanyanao kazi za kila Siku ofisini wake.
 
jamaani naangalia ukurasa-EATV nimeona viongozi wa bavicha Dar wakilalamikia waendesha pikipiki kuingia katikati ya jiji. lakini naombeni mnisaidie kunitoa tongotongo jamani. hivi hakuna makabila mengine zaidi ya wachaga wanaoweza kuongoza huko chadema? nimeshangaa jiji la Dar lililojaa makabila mbalimbali lakini nafasi zote muhimu zinaongozwa na wachaga tu kuanzia mwenyekiti wa mkoa henry kileo kumbe mpaka bavicha mwenyekiti na katibu ni mnishi na malya.
msaada tafadhali, kulikoni wachaga na chadema?
Hiyo ndio chadema ambayo mimi naifahamu.
 
Kinachotafutwa kwa MCHAGA haswa ni nini??
Hatakiwi ktk hii nchi, ktk uongozi au ni nini??
Tunakoenda itafika mahali mtasema wachaga wametuzidi sana sasa Wauwawe.
Mchaga hatakiwi kuwa kiongozi ktk hii nchi, kamfufueni Nyerere

kaka me nimepanga kwa mchaga kaniambia waalimu ambao anafundisha nao shuleni DAR wote wanatoka Kilimanjaro,alafu ukienda mikoani kila mchaga ni CDM ,sasa sijui wanapenda sana au la,pia ni wachapakazi na niwasomi haina ubishi,na kila kona ya TZ wapo.na ni wastaarabu na hawakuingilii ktk maisha yako.na ukiwa jirani yako hata usiku wa manane anaweza kukupa msaada wa hali na Mali.
 
umeona hawa jamaa nichosema? Wameua elimu na sasa wanaleta shida kwenye uchambuzi wa mambo! Udini+ukabila vinatusaidia nini? Kwani unataka kutambika!

Ofisi iko dsm, yaani hapakuwa na watanzania wengine wa kushika nafasi hizo hasa hasa wazaramo ambao ni wenyeji zaidi ya Munis na Malya?
 
He he he heeee! Hapa wengine tunapita tu!
 
Hiyo ndio chadema ambayo mimi naifahamu.
jana kweli nilijiridhisha kuwa kadima aka saccos-chadema ni chama cha kikabila. yaani Dar nzima na makabila yote yaliyopo hapa wameonekana wachaga tu kwenye uongozi wa chadima? Afadhali Juliana ulijionea mapema ukajisepea. nashangaa hata hao wanaowapa kura hao jamaa. ila kule kalenga na Chalinze wamenipa ile kitu ninayopenda. hachukiwi mtu ila tunachotaka ni chama kioneshe sura ya kitaifa na sio kikabila wala kikanda. sio kuwelkana kindugu kama walivyofanya akina ndesa na watoto na wakwe wao, akina tobo lisu na dada zao akina mbowe na vimada wao akina slaa na wazazi wenza. ni aibu.
 
Umejuaje ni wachaga, hebu tupe evidence
labda wewe utakuwa sio mTanzania labda mkimbizi toka kwa kagame au umeamua kuanzisha ligi tu zisizo na maana. nikupe shule tu, ukisikia kileo, mnishi na malya respectively m'kiti mkoa wa dar, m'kiti bavicha dar na katibu bavicha dar kwa sisi wabongo unajua kuwa haya majina ni ya kabila fulani. and so on....
 
wanachangamkia fursa... Wewe umelala... Kwa nini husemi maduka mengi ni ya ma mangi je makabila mengine mbona wapo?
afadhali umesema maduka mengi lakini siyo yote. lakini hapo ni wote halafu ugenini. ingekuwa kule rombo mashati au marangu wala nisingetatizika. huku kwetu ukikuta duka la mchaga moja jua kuna mengine 50 ya watu wengine.
kwa kifupi hapo inaonesha kabisa mlengo wa hiki chama. halafu hata habari yenyewe ikarushwa na EATV-mengi na sio channel 10 ya wahindi, strar tv ya dialo bbc? why?
 
Back
Top Bottom