Deo Kisandu: Hakuna chama kisafi Tanzania

Deo Kisandu: Hakuna chama kisafi Tanzania

tatizo la vijana ni kupandikizana ujinga tukipewa fursa hatuzitumii,jamaa anasema haoni tatizo ridhiwani,januari na mgimwa wakiwa wabunge,sumu ya kubebwa ipo vyama vyote;pia jamaa amesisitiza kuwa yeye sie mwanasiasa, je wana jamvi huyu kijana mwenzetu mna mweelewa?

huyu kachanganyikiwa....mlifuata mtu badala ya kufuata chama sasa ona mnavyorugikiwa na akili
 
Kisandu kajichabganyikiwa anahitaji councelling ya kutosha
 
Amesema kuwa yeye sio mwanasiasa,amesema hayo akiwa tuongee asubuh startv,swali kama sie mwanasiasa anangoja nini nccr?chadema nako alikua anafanyanini?je urais alio tangaza kugombea ni upi kama sie mwanasiasa? Namshauri james mbatia amtizame kada wake kwa macho 2 haraka
 
Yawezekana yuko sawa maana kwa wewe unvyoandika ni kama vile mwanasiasa hatakiwa kuwa na maslahi mapana kwa nchi ila chama chake na kama hivyo ndivyo basi ndio maana anasema yeye sio mwanasiasa ila mzalendo kwenye mchakato wa siasa
 
Ni kama ambavyo unaweza sema hakuna mtu msafi TZ, hakunaa asiye na dhambi duniani. Deo is completely diluted material ready for kids consumptions only. TUNACHOTAKA SISI NI MWENYE UNAFUU KULIKO WENZAKE, Kama ilivyo kwenye maisha watu wote ni Malaya, yupi Malaya anayekufaa ndo cha muhimu kwenye ndoa.
 
Back
Top Bottom