Deo Kisandu: Dar es salaam nitakuja lini?

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
View attachment 472020 Kila nikitaka kutoka huku mikoani kuja Dar es salaam, naiona dar es salaam imewekwa matuta na Viongozi. Yaani siwezi kupita mpaka matuta yatoke.

Duuuh.....wachawi bwana wana visa hasa.
Deogratius nalimi Kisandu
matuta.jpg
Deogratius Nalimi Kisandu
 
Mkuu unahitaji msaada wa kuchunguzwa akili na kupewa matibabu husika kabla hujaharibikiwa zaidi, Eti wachawi wameweka matuta Dar ili DK asitie mguu kwenye jiji la maraha lol! Hahahahaha

Kila nikitaka kutoka huku mikoani kuja Dar es salaam, naiona dar es salaam imewekwa matuta na Viongozi. Yaani siwezi kupita mpaka matuta yatoke.

Duuuh.....wachawi bwana wana visa hasa.
deogratius Nalimi Kisandu
View attachment 472020
 
ndugu yangu deo kisandu dar isikie tu kwenye magazeti....huku unasurvive kama mbishi tu kama mtoto mayai mayai endelelea kulima njegere mkoani
 
Wakati mwingine ifike mahali huyu zez.eta Jf ipuuze kwa kufuta ushuzi wake humu, na kama ni matatizo ya akili basi anahitaji tiba ya haraka kabla ajaanza kuokota makopo.
 
Wakati mwingine ifike mahali huyu zez.eta Jf ipuuze kwa kufuta ushuzi wake humu, na kama ni matatizo ya akili basi anahitaji tiba ya haraka kabla ajaanza kuokota makopo.
Kwa wale wanaotambua taifa la.wagaga gigi koko huyu ni mzawa wa taifa hilo.Mods huyu atafutiwe usafiri wa kurudishwa kwao.Awe PI'ed haraka .
 
Mkuu unahitaji msaada wa kuchunguzwa akili na kupewa matibabu husika kabla hujaharibikiwa zaidi, Eti wachawi wameweka matuta Dar ili DK asitie mguu kwenye jiji la maraha lol! Hahahahaha
We umedatA bange za utotoni zinaanza kazi mda huu ...puff moja miaka saba..sasa we ulipiga pafu elfu ngapi?mata saba..unatuchosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom