Deo Fulikunjombe aomba mwongozo kukomesha tabia ya kufuja muda

Najuwa sana madhara ya hiki chama cha Mabwepande lakini kuna wakati tuwe wakweli X Mchungaji ni heri kumchaguwa mgombea wa CCM Deo FUlikunjombe kuliko kumchaguwa mgombea wa Chadema Shibuda. Hizi ndizo aina ya siasa tunazopaswa kwenda nazo kwa sasa.
Pamoja kabisa! Ni heri nimchague Invisible (CCM) kuliko yule FMES
 
Ndio sababu yenu kuu ya kutaka Bunge lisioneshwe Live ili mpate muda hadi wa kupeana asante za muheshiwa fulani kuhudhuli kitchen party ya binti yako?

Sijui ukisema yenu unamaanisha nani na nani ila najua wewe si mmoja wa wabunge waliohudhuria mafunzo ya itifaki za uendeshaji wa shughuli za bunge, ila Deo alihudhuria.

Najua kuwa Deo anajua tamaduni za bunge na uendeshaji wa shughuli zake.

Kwa hiyo siwezi kabisa kushangaa mtu kama wewe ukisema hayo aliyoyasema Deo lakini nitashangaa Deo akisema Siwa ya bunge ni ufujaji wa mali za taifa hivyo iuzwe ili tununue ambulance.
 
Duuh Deo amezua jambo nafikiri kwenye kikao cha ndani atakanywa maana amesema siku nyingi anafuata sera za chama fulani cha kas...,maanda....,mikutano,operation sangara
 
Sijui ukisema yenu unamaanisha nani na nani ila najua wewe si mmoja wa wabunge waliohudhuria mafunzo ya itifaki za uendeshaji wa shughuli za bunge, ila Deo alihudhuria. Najua kuwa Deo anajua tamaduni za bunge na uendeshaji wa shughuli zake. Kwa hiyo siwezi kabisa kushangaa mtu kama wewe ukisema hayo aliyoyasema Deo lakini nitashangaa Deo akisema Siwa ya bunge ni ufujaji wa mali za taifa hivyo iuzwe ili tununue ambulance.
Zitto Kabwe yuko hewani sasa hivi kama msemaji rasmi wa kambi ya Upinzani kwa Wizara ya Fedha na ameanza moja kwa moja na point zake bila kulemba wala kumtaja yeyote yule, usiwe kama pimbi kubisha vitu ambavyo haviswi kubishaniwa, hebu declare interest zako kwanza.
 
kwa hiyo Dunia inasimama kulizunguka jua? Wenzako sikuizi wanajua wakipoteza MUDA kwa Porojo Budget inapita kwa mafungu ikikaribia saa 12.

Mimi nimejibu kutokana na mwanzisha mada. Yeye amesema kua waziri anaewa dakika 40 za kujibu anatumia dakika 20 kutaja majina. Mimi nikamwambia kua muda wa kutaja majina hauesabiwi kwa hiyo waziri atatumia dakika zile zile 40. kujibu hoja. kwa hapo nadhani umenielewa.

Ishu ingekua wanapoteza muda wa Bunge hapo ningekuelewa na ningejibu vingine
 
Zitto Kabwe yuko hewani sasa hivi kama msemaji rasmi wa kambi ya Upinzani kwa Wizara ya Fedha na ameanza moja kwa moja na point zake bila kulemba wala kumtaja yeyote yule, usiwe kama pimbi kubisha vitu ambavyo haviswi kubishaniwa, hebu declare interest zako kwanza.
Zitto hajibu hoja anatoa hotuba, hapa tunajadili Waziri akiwa anajibu hoja na kuwataja wabunge waliochangia. Usimwite mwenzako pimbi wakati wewe ndio pimbi kuzidi
 
Zitto hajibu hoja anatoa hotuba, hapa tunajadili Waziri akiwa anajibu hoja na kuwataja wabunge waliochangia. Usimwite mwenzako pimbi wakati wewe ndio pimbi kuzidi

Hapo unatwanga maji kwenye kinu, huyo mtu hajui chochote kuhusu shughuli za bunge.
 
Speaker atatowa mwongozo baadaye kabla ya kusitisha shughuli za Bunge za asubuhi.

Hili Bunge na huyu Spika ni kwamba wanaongozwa na IKULU kushirikiana na LUKU - VI.

Hapo ina maana ameshindwa kutoa jibu hadi akamuulize msemaji wa Ikulu nini awajibu wabunge au baadaye amuulize LUKU - VI.

Mbona uamuzi wa kuwatoa wabunge nje ya ukumbi na kuwapa adhabu ya siku tatu anatoa mara moja.

SPIKA DHAIFU + RAIS DHAIFU + PM DHAIFU + MAWAZIRI DHAIFU = SERIKALI DHAIFU

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Muda wa kutaja majina hauhesabiwi kwenye ule muda anaopewa Waziri kujibu hoja.

Sina hakika kama unasema kweli licha ya kuwa naamini umeongopa na hata kama usemavyo ingekuwa ni kweli bado suala la kupoteza muda linabaki pale pale kwa kuwa kutaja majina hakuna mantiki ukilinganisha na hoja zinazotakiwa kujibiwa
 
subiri muongozo wa Spika ndio utajua kama nimedanganya ama la!
 
Mimi nimejibu kutokana na mwanzisha mada. Yeye amesema kua waziri anaewa dakika 40 za kujibu anatumia dakika 20 kutaja majina. Mimi nikamwambia kua muda wa kutaja majina hauesabiwi kwa hiyo waziri atatumia dakika zile zile 40. kujibu hoja. kwa hapo nadhani umenielewa.

Ishu ingekua wanapoteza muda wa Bunge hapo ningekuelewa na ningejibu vingine

Ndugu Zanta siyo kweli majina hayapo ndani ya muda Waziri anapewa kujibu hoja za Wabunge. Kama unakumbuka bunge la Spika Sitta kuna wakati alikua anamwambia Waziri aanze kujibu hoja,kama muda utaruhusu atamwongezea ataje wachangiaji.
 
Mkuu timbilimu, mi mwenyewe nilimsikia kama sio Spika alikua Naibu wake, Kuna waziri alikua anataka kuacha kutaja majina ya wachangiaji kwa akili ya muda, akaambiwa awataje tu kwa kua huo muda hauhesabiwi. Hapa tunazungumzia Bunge la Makinda, sio la wakati wa Sita
 
Wale wale nilisikia, nimeambiwa, pumbavu kabisa ni nani alikudanganya Bunge limetenga muda wa porojo na muda wa kujibu hoja, unadhani ile kengele ya muda huwa anaipiga speaker? _ hujui kama hata speaker mwenyewe kuna wakati huwa hajui ni kengele ya kwanza au ya pili.

Kama unachokisimamia ni kweli kuna maana gani ya mawaziri kujihami na kuomba hotuba yote iingie kwenye hansard kabla muda wake haujakwisha?
 
Zitto hajibu hoja anatoa hotuba, hapa tunajadili Waziri akiwa anajibu hoja na kuwataja wabunge waliochangia. Usimwite mwenzako pimbi wakati wewe ndio pimbi kuzidi.
Kama anatowa hotuba mbona hakuanza kwa kuwashukuru wana Kigoma kwa kumchaguwa?
Mbona hajataja familia yake, mtoto wake na mama yake na Mungu wake?

Hivi nyinyi watu mmerogwa? Mnakosa hata uelewa mdogo? Mtatetea mpaka wabunge kulala bungeni mtasema huwa wanatafakari.
 
Na kama umeangalia vizuri,nyuma ya Deo amekaa Mama Zakia Megdji(?)...wakati Deo akieleza Mama alikuwa anatikisa kichwa kuashria hakubaliani na mtazamo wa Deo...Na Utashangaa kuna sehemu ya hotuba huwa hawaisomi lakn wanasema hansard iandike!sasa kwanin na majina wasiache na waseme Hansard iandike?

Hivi huyu mama ni kweli aliingia vile tunavyojua bungeni? sasa muhusika ni yeye au mwanaye kwa mkulu? Nielewesheni hapo
 
Cha kupima hapa ni kulinganisha shughuli za Bunge zilivyokuwa zikiendeshwa wakati wa Uongozi wa Serikali ya mwalimu JK. Hvi kweli kulikuwa kuna Mbunge alikuwa akitumia muda kumsifie Bungeni Mke wake mdogo na watoto wa nje ya ndoa?
Mahali ambpo tumefika ni pabaya sio kwamba hatuwapendi wake zetu wala watoto wetu lakini tutazame na tupime mahali gani na wakati gani unafaa wa kuwasifia ukitizama muda wa kujadili maswala muhimu ya kitaifa kulinganisha na ubinafsi kwa kutumia gharama za wengi wavuja jasho.

Watanzania tumezeoea Mzaha lakini swala hili kwa kweli ni la umuhimu sana. hatutenda mbele kamwe kwa mtindo huu.
 
Back
Top Bottom