rekebisha jina kwa ajili ya kuweka sawa kumbukumbu kwa vizazi VIJAVYO
Mhe. Deo ni kati ya watanzania wachache ambao wanaishi kwa mawazo huru provided hawavunji sheria. Mhe. Deo haya ndio matunda halisi ya viongozi wazalendo waliopigana na wakoloni wakiwatetea waafrika wenzao. Mhe. Deo, ndio akina Mwl. Nyerere, Kwame Nkuruma wa Ghana au Nelson Mandela wa Afrika Kusini. Nchi hii haiwezi kuendelea kwa mawazo ya watu kama Nape au Mchemba wanaoamini katka kushinda uchaguzi na kutawala watanzania. Mhe. Deo ni kisima cha fikra na hekima.