Deo Filikunjombe: Tanzania sio mali ya CCM

Deo Filikunjombe: Tanzania sio mali ya CCM

Alichosema ni ukweli nilimsikiliza kwa makini sana jana alikuwa anaongea kile kilichokuwa kinatoka moyoni mwake ni mzalendo sana huyu jamaa ndio tunahitaji watu waliojitoa kutumikia taifa na wala sikundi kubwa lenye wahuni na mafisadi wanaotuibia uchumi wetu
 
Candid Scope viongoz waliopatikana kwa hak hujiamin cku zote ila waliopita kimafia huishia kujipendekeza pendekeza....kaza buti fili
 
Last edited by a moderator:
Ujumbe umefika ni fikra huru, fikra sahihi, nape na wenzake watakuwa wamejifunza kama wataendelea kuvaa mawani ya mbao.... Basi ujue sikio la kufa tena.
 
Vongozi wa CCM hawapendi kusikia haya. Na kwa kuwa aliyeyasema ni kiongozi ndani ya chama tawala, watataka wamwite ili kutolea ufafanuzi zaidi, halafu yanakuwa ya akina Kolimba na wengineo. Lakini ukweli uliopo ni kuwa viongozi wetu chini ya chama tawala CCM wakiongozwa na raisi, wakumbuke sisi Watanzania ndio tuliowapa ajira hiyo.

Na kwa maana hiyo mwajiri ana uhuru wa kumwondoa kazini mwajiriwa anapoonekana kwenda kinyume na mkataba. Hivyo Kikwete na jopo lako ndani ya jahazi lililotoboka la CCM lazima mwondoke, ili kuwapisha wengine.
 


....Watawala waondokane na dhana potovu kuwa Tanzania ni mali ya CCM....
 
He is among the best politician we do have,keep it up hon.Deo Filikunjombe.
 
filikunjombi baba njoo cdm achana na machichidodo na uchichidodo:sleepy:
 
JM kilaza namba moja. Mzee Butiku busara tele. Makamanda Esther Wasira, Deo Filikunjombe, Majjid Mjengwa wamechana ile mbaya waki-reflect kizazi bora kijacho kwa uongozi wa taifa letu na sio wale mapacha wapumbavu waliokazania rais ajaye lazima awe post-1961. Tunahitaji kusikia tutavukaje hapa tulipo kama taifa na sio umri wa rais ajaye uweje!

Yaani Majid Mjengwa amewafunika wengi sana kwa point zake leo. Amefuta dhana iliyozoelek kwamba yeye ni gamba.Alikuwa neutral sana. Big up Majid & Deo. Many congrants pia kwa Esther na Butiku.! Bila kumsahau gwiji Prof. Shivji, japo aliminywa muda!
 
Filikunjombe kama kweli unaichukia CCM na matendo yake yote chukua hatua jiondoe jiunge na makamanda kukomboa nchi lakini kama utaendelea kupiga kelele upo mlemle wala sikuelewi! sikutofautishi sana na akina Sitta na Makyembe kelele mingi ila mpo kwenye payroll za ccm! it doesnt make any sense either you act or keep quite!!
 
Yeah! Deo filikunjombe ndio kamanda pekee na mwenye akili aliyebaki CCM lakin kwa kudra za Allah one day tutakuwa naye katika team ya ukombozi.

Deo upo juu kamanda.
Huyu mheshimiwa ni contributor mzuri wa siasa za TZ ni jembe ulaya. Achana na hao kina na Nepi eti kadi za CCM ameona hiyo ni issue, Nape atueleze aliishia wapi na sera za kuvua maghamba????

 
Ukweli siku zote huweka mtu huru. Tanzania ni zaidi ya chama/vyama. Uzalendo, uadilifu na uwajibikaji kwa umma wa watanzania ndivyo vinavyohitajika. Bahati mbaya sana haya yanapelea ua kukosekana kabisa kwa chama tawala. Deo is an exception........ Keep it up.:happy:
 
usipounga mkono kauri ya Deo wewe utakuwa na matatizo kiukweli Deo umewamaliza .. ni wachache sana Gambaz wenye ujasiri kama wako .. keep it up Bro!
 
Back
Top Bottom