Deo Filikunjombe: Mbunge anayefanya makubwa jimboni mwake

Masahihisho ni muhimu hasa jina lilivyokosewa ni mno. Historia yake inaeleza kuwa Deo Filikunjombe ni mtoto au anatoka katika familia ya Hayati Sub-Chief Filikunjombe wa enzi hizo wakati tunapata uhuru. Hivyo Jina Filikunjombe si la kutoholewa kutoka majina mengine, ila la ukoo katika familia yao.

Mada hii ingefaa iunganishwe na mada nyingie inayoongelea kitu hicho hicho ili kuunganisha fikra na maoni ya wachangiaji katika mtiririko wa uzi mmoja. Thanks.

Ukikosea jina unapoteza hata ladha ya unachokijadili.
Mfano unamjadili Messi kwa magoli yake ya maudhi, lakini utakapokosea jina labda ukamwita Mery unapoteza ladha ya mjadala unakuja kushangaa kila mtu anauliza hivi imefika saa ngapi vile!
Big Up Candid Scope for correction by the way!
 
Anawakilisha vijana kwa maana halisi na si kuwa mbunge kwa sababu ya umri kama wa kijana

Live long Deo Filikunjombe.................keep the fire burning
 
Ukikosea jina unapoteza hata ladha ya unachokijadili.
Mfano unamjadili Messi kwa magoli yake ya maudhi, lakini utakapokosea jina labda ukamwita Mery unapoteza ladha ya mjadala unakuja kushangaa kila mtu anauliza hivi imefika saa ngapi vile!
Big Up Candid Scope for correction by the way!

Thats really true
 
Kuhusu kuhama chama, haitasaidia kwasababu Mgombea wa Chadema kwa mwaka 2015 ameshaandaliwa, na anakubalika sana kwa kadiri ya intelijensia. Lakini Deo ni mbunge mzuri sana, anafaa kwa jimbo lolote. I believe Ludewans will miss the guy soon after 2015, kwasababu kwa mwendo wa sasa mwaka 2015 jimbo linachukuliwa na CDM.
navyoijua ludewa cdm ngumu
 
Hongera Mbunge wangu wa Ludewa kwa kazi nzuri. Ila naomba uongeze speed katika kusimamia issue ya uwajibikaji wilayani Ludewa.
 
Hongera Deo Filikunjombe kwa msimamo wa kuunga mkono hoja ya kujadili maafa, najua Ludewa kwenye ziwa Nyasa kuna meli mbovu, na ajali ikitokea huko tutaenda kuweka mashada tu manake hadi kikosi cha uokozi kitoke Dar tena kwa basi sijui itakuwaje!
 
we acha tu, Filikunjombe ni wa ukweli sana.

Huyu bwana anaonyesha ukomavu wa kisiasa kama anavyofanya Zito kukataa kutoka bungeni na wabunge wenzake wa CHADEMA, Kama mbunge kutumia akili yake na haki yake ya kikatiba ni usaliti basi CDM kunakazi kumbe ndiyo maana huwa hamkosoani kwenye chama chenu kinaendeshwa kama malaika wakati kuna matatizo kibao.

CDM ni chama kizuri sana kama wanachama na wabunge wake wataachwa kutumia akili zao kuweka mambo sawa kwenye chama kabla hamjakosoa CCM.
 
Deo Filikunjombe ni Mtanzania Mzalendo kutoka moyoni mwake, hana uccm wala uchadema moyoni mwake. Anawakilisha sauti za waliomchagua. Huyu jamaa anapenda haki tokea alipokuwa World Vision
 
Hongera deo filikunjombe kwa msimamo wa kuunga mkono hoja ya kujadili maafa,najua ludewa kwenye ziwa nyasa kuna meli mbovu, na ajali ikitokea huko tutaenda kuweka mashada tu manake hadi kikosi cha uokozi kitoke dar tena kwa basi sijui itakuwaje!

atari tupu!
 
we acha tu, Filikunjombe ni wa ukweli sana.

Huyu jamaa ni mpiganaji sana hata M4C wanaweza kumwachia jimbo lake huyu jamaa ni kichwa sana.kwa kifupi namkubali sana.pig up Filiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Hongera Deo Filikunjombe kwa msimamo wa kuunga mkono hoja ya kujadili maafa, najua Ludewa kwenye ziwa Nyasa kuna meli mbovu, na ajali ikitokea huko tutaenda kuweka mashada tu manake hadi kikosi cha uokozi kitoke Dar tena kwa basi sijui itakuwaje!
Huyu Deo kwa nini asije CDM?
 
angalia picha namba 1; eti anamkabidhi mwenyekiti wa ccm gari la wagonjwa,,!! ina maana katoa gari kwa hospitali ya ccm au ya serikali? kama hospitali ni ya serikali basi ingefaa ki protokali amkabidhi mgamga mkuu wa wilaya au mganga mfawidhi wa kituo cha afya kama wote hawapo angemkabidhi afisa mtendaji wa kata ya mlangali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom