Fabulously Chic
New Member
- Feb 10, 2023
- 3
- 0
Nilikuwa sikutilii maanani mwanzoni, ni kutokana na mambo mbalimbali yaliyokwisha na yanayoendelea hata sasa.
Ila una kitu.
Vitu vikubwa.
Ninatumaini siku moja tubadirikiwe na viongozi wenye nia thabiti kama yako.
Nia ambayo haitaishia kwenye maneno tu, badi hadi utekelezaji, na isiyoyumbishwa na interests za kibinafsi.
Ninakutakia kila la heri.