Denial

mimi nafkiri ningekuta si kweli wala nisingekuwa na shida as nilikuwa nataka kujua ukweli na ukweli kwangu ulikuwa ni yy kuwa clean but nipofika kwamba hauko clean na penyewe sikulaumu sana kwana binadamu tunatofautiana

Mtu akikwambia jambo kubwa kumhusu mpenzi wako ikisha wewe ukachunguza ukaona hilo jambo halipo kwa mtazamo wako basi kutakuwa na mawili

Ama utamtilia shaka na kukata uaminifu kwa huyo aliyekupa "facts" au utamtilia shaka huyo mwenza wako

Mimi binafsi siwezi nikamwambia mtu sifa mbaya ya mwenza wake kwa sababu haijanihusu
 
I lyk the novel jamani! Ila inatokeaga kwa wanawake zaidi kwamba hupotezea shutuma za wanaume wao na mambo yanapokuwa mabaya ndipo hujuta...! Huishia kufa kwa kipigo, mshtuko, magonjwa au suicide...! Sijui ndo love is blind, deaf and dumb yenyewe?

kumbe hii ipo zaid kwa wanawake kuliko wanaume enh! Nivea hebu njoo useme experience yako hapa Nyani Ngabu hebu sema waweza kudenial ukweli juu ya tabia ya ms ngabu??
 
Last edited by a moderator:

binafsi huwa sipendi kusema ubaya wa mtu but kuliko ubaya wake uhatarishe maisha ya mwenzie basi ni bora niseme ili kunusuru.
 

marahaba mwanadamu....................hahahahahah

lakini mwali kuna haja ya kufungua macho kwa ndani ili kuweza kunusuru maisha ya mapenzi. tatizo letu ni kwamba si watu wenye utayari wa kukubali mapungufu yetu.
 
Thanks Mwl, kwa mifano halisi ambayo kwa ukweli we gotta learn from them.
The way mtu unavyo react kwa information.
Some people (I think l was, maybe still one of them), hatupendi kuambiwa mambo ya watu zetu. Actually kwa case yangu mimi sijawahi kuambiwa about my cheating BF. nilikuja gundua mwenyewe tena bila mitego. It just came (labda kwa vile nilikuwa kwenye mji mdogo). Na sijawahi kumwambia friend kuwa mumeo anacheat; coz nina mtazamo tofauti wa hizo information.

Now about how to handle that not so good information yaweza jenga, bomoa mahusiano lkn pia yaweza bomoa au jenga self esteem pia.
 
karibu tena Kaunga.

mimi sijawah umwambia mtu juu ya mabaya ya mwenza wake ila nimewah kumwambia mtu ukweli juu ya ugonjwa unaomsumbua mwanae, mwanzoni alikataa sana sana na akanichukia ingawa nilimwambia kwa upole na nikamwambia nini kifanyike.

akaambiwa na mtu wa pili the same akaambiwa na mtu wa tatu the same, mwishowe huyu mwanae akatwaliwa, niliskitika sana as suluhu ilikuwepo but denial kutoka kwa mzazi ilikwamisha kupona kwa mtoto mama mpaka leo huwa anajuta. staki kusema sana lkn baada ya kusoma hiki kitabu nmejikuta nina jaribu kuoanisha na maisha ya kawaida nikasema denial ni sumu ya maisha.
 
Last edited by a moderator:
Ukimpenda mtu huwezi kuwazia mabaya juu yake, hata Yale unayoambiwa Na watu, Na unaweza ukasema atafanya hivyo kwa wengine, ila hatafanya kwako!,

NB ; Mapenzi ni kama Dini, ukishaamini ni vigumu kutoka, labda uhakikishe kwa macho yako Na sio kuambiwa,
 
Si bora uyakubali hayo mapungufu yanayoletea negative things na kuamua kuishi nayo?

Mimi naujua udhaifu wa mwenzangu, lkn nimeamua kuishi naye anyway. Am l in denial???? AshaDii

That's not denial Kaunga... Ukitambua madhaifu na kuyakubali kuwa ni madhaifu na hasa kama hayakuathiri kwa ubaya hiyo sio denial. Shida ni pale hayo mapungufu yanapokuwa ni mtihani kwako.
 
Last edited by a moderator:


Nimependa uliyo ongezea... You are so right Dearest. Inaweza onekana mzaha but denial inacheza nafasi kubwa sana katika mahusiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…