Denial

mi ukiandika kiswanglish nachelewa sana kuelewa!!!
jitahidi kutumia lugha moja ili upate wachangiaji wengi
 

inategemea wahusika wako kwenye phase gani. Kama ni penzi changa, ndiyo unakuta mhusika yuko tayari kudonate hata nusu ya damu yake.

Pia kuna jambo jingine, wakati mwingine unakuta mmoja wa hao wapenzi kwa makusudi kabisa anachezea akili ya mwenzake.

Cc. lara 1
 
Last edited by a moderator:
Mmh, natamani nije nimwage nondo hapa
Ila nimekabwa tu
 

but naona we are trying to preach something wich will cost vijana wanaokuja kuanza kupenda.

nafkiri utakubaliana na mm kwamba mtu unayo chance moja tu ya kupenda, na kama ndivyo basi lazima uhakikishe umeitumia vyema na ipasavyo hii nafasi hii. tusiseme eti mapenzi ni upofu bali unaposhauriwa jiangalie ili ufanye uchaguzi sahihi.
 
hilo ndilo tatizo liletaalo majuto baadae, haya mambo ya kuassume bf/gf ni malaika kesho anapotray uhalisia wake huwaletea wengine majuto. kwangu mimi ni busara zaid kukubali makosa ya bf/gf kisha kuona unayasaidaije ili yasiwepo kabisa ama kama unaona ni magumu basi uachane nae.
 
When is benefit of doubt is useful?
Should we live on how other people say (how many is enough no) au jinsi reasoning na mioyo yetu inavyotuambia?
I am l allowed to make my own mistake n possibly learn from them?

Denial ambayo ina madhara hasi (IMO) ni ile ambayo akili au reasoning yako inakuambia hiki na moyo wako unakwambia tofauti.
Lkn ile ya kuambiwa na watu wengine kitu tofauti ilhali akili na moyo wako hukuambia kingine nafikiri haina madhara hasi.
Some how maneno au wasiwasi tunaolishwa na watu wengine huchangia ktk kutufanya tutengeneze counter measures au sort of defense mechanism ambayo in one way or another ina influence negatively kiasi kwamba yale yaliyokuwa yanasemwa yanakuwa kweli. (Am l in denial???? Lol)
 

thanks dada mkubwa as umetuwekea kitu kipya hapa.

ok labda nianze na denial ya woga, kuwa tegemezi na kuwa hupendi mabadiliko ni jambo baya sana katika mapenzi. hii husababisha mwisho wa siku kutokusonga hasa kimaendeleo na kiuchumi. mara nyingi sana mtu anyeangukia kwenye kundi hili hujuta zaid kwa kujikuta kwamba maisha yake hutawaliwa na ulinganifu tu yaani hana jipya kabisa kwenye maisha.

mara nyingi zaid mtu mwenye kupossess hii xcter hujikuta hana challenge as huona sawa kila lifanywalo na mwenzi wake. hawez kuspice up maisha yake na ya penzi lao na kama ni kwenye ndoa huambulia kustuck kwa maisha like walikuwa well off lkn ghafla wanaanza kurudi nyuma kiuchumi.

pia hapa huweza kumfanya mtu akaishi maisha ya kuregret period hasa pale woga unapomnyima nafasi ya kuamua kwa busara maamuzi sahihi. hii nimeishuhudia na nitawapeni ushuhuda wake kwenye huu uzi.

kwa upande wa type 2 denial( inayoshinikizwa kwa mapenzi) hii huishia kwenye maumivu ya moyo, na donda lisilotibika. wengi huishia hata kujiua kwa sababua tu ya ile hali ya kukwepa aibu ama uhalisia anao uona.
 
Wapo na tele wengine walioambiwa kuwa mtu fulani hamfai na akaamua kupuuza na ikiwa the best decision kwake.

Na wapo tele walioambiwa kuwa fulani anawafaa sana kwa kupewa "facts" za kumwaga na walipokuwa pamoja ikawa majuto
 
love is blind gfsonwin -_-

most of us hatupendi kuamini -ve things about our loved ones so hiyo inachangia denialism kwa kiasi kikubwa

Si bora uyakubali hayo mapungufu yanayoletea negative things na kuamua kuishi nayo?

Mimi naujua udhaifu wa mwenzangu, lkn nimeamua kuishi naye anyway. Am l in denial???? AshaDii
 
Last edited by a moderator:

we shld not live on how others say but we shld take charges on what they say. like nitolee mfano kuna muda moyo unakataa kabisa ukweli na akili inakushurutisha kwamba ukweli ni kile unachokiona. bu others wanaona kwa jicho lisilo biased na wanaposema mara nyingine wanasema wakiwa clean sana kwako.

huyu mama Anne Cobolt yeye aliambiwa na mama yake mzazi na mkwe kwamba asiolewe na huyu Henry lkn bado aliona anahitaj kufanya hivyo. mwanae wa kumzaa bado aliona huyu mtu sio mume sahihi kwa mama yake akamchukia na kumwambia mama yake but bado mama alikataa. unknown friends wakawa wanamtumia barua kumwambia ukwel juu ya mume wake (henry) kuwa ana toka na mtu mwingine still nafsi ikagubikwa na woga na akakataa.

akaenda ku hire private detectiveamasaidia kumchunguza mumewe akabaini ukweli wake kwamba hata jina tu sio huyu henry sio lake na wala hajawah kusoma hata hiko chuo alichosema. bado mama anakataa anaona mumewe sio. mpa siku anakuja gundua kwamba huyu henry ni tapeli na mwongo na kwamba kamfilisi ni too late kwake, na mauti ilimkuta kwa presha.

tizama tena huyu mama dr wake alimwambia asizae tenabut still akakataa kukubali ukweli akabeba mimba siku ya kuzaa ndo siku alipokufa. sasa imagine scenerio zote mbili uone huu upofu je ni sahihi??
 
Si bora uyakubali hayo mapungufu yanayoletea negative things na kuamua kuishi nayo?

Mimi naujua udhaifu wa mwenzangu, lkn nimeamua kuishi naye anyway. Am l in denial???? AshaDii

sasa pale unapokubali kuish na mapungufu ya mwenzio wako sio denial bali umekubali kuyaish of which hata implication zake zinatofautiana.
 
Wapo na tele wengine walioambiwa kuwa mtu fulani hamfai na akaamua kupuuza na ikiwa the best decision kwake.

Na wapo tele walioambiwa kuwa fulani anawafaa sana kwa kupewa "facts" za kumwaga na walipokuwa pamoja ikawa majuto
Gaijin ni kweli haya unayoyasema but pia wapo wengi tu ambao waliambiwa huyu sio sahihi wakakaidi na mwishowe wakaja kujuta mpaka hata kujiua.
 
Last edited by a moderator:

https://www.jamiiforums.com/mahusia...zaidi-ya-ufikiriavyo-kweli-mapenzi-upofu.html
 

babu mimi hata sion kama ishu ni phase ya mapenzi bali ishu ni akili kusirikishwa. ngoja nikwambie a friend of mine aliolewa na mume ambaye watu tulimjua kwamba ni kimeo na kwamba sio mtulivu. binti akagoma gomo gomo kuskiliza kama kawa tukaanda sherehe ya kukata na shoka hapa dar. ( naomba nisitaj venue na hotell waliyolala ) basi tukawapeleka hotelini mwanaume akaweka demu next rum, so akisema naenda kuosha macho nje kumbe anaingia kwa rum ya kimada kumbe walikosea timing mke wa ndoa akagundua siku mbili baadae. akaanza kutulilia sasa nikajiuliza kwann alipoambiwa asingetuliza akili yake kwanza??
 
huwa nasema hivi katika mapenzi ,hasa ya sasa kamwe usiachie moyo wako kukusaidia kutoa last say.wacha ubongo wako ufikiri
reason for denial.
1.gambler
2.risk taker
3.mapenzi upofu
4.kutokutumia ubongo wako ipasavyo
5.imani haba
6.kutokutambua thamani yao hapa duniani
7.tamaa ya mali na fedha bila kujali utu wako
8.umaskini
kwa upande wangu siwezi onesha denial sababu naishi duniani siishi mars mimi watu wanakuambia ,wameona pengine umeshuhudia.ninachokifanya nakusanya mafail ya evidence,na kila niambiwacho natumia ubongo wangu kufikiri namsoma yule mtu kweli bila kumhurumia wakati nafanya investigation zangu na bila kuchanganya mapenzi,nakuwa na volume .from there naweka conclusion.
 
Hoping, sijui wanasemaje; potentiality. Sometimes watu wanajipa matumaini kuwa huenda wanaweza wabadilisha wapenzi wabaya, sometimes it works (kwa muda) lkn kukitokea shida kdg the devil is awakened.
 
Gaijin ni kweli haya unayoyasema but pia wapo wengi tu ambao waliambiwa huyu sio sahihi wakakaidi na mwishowe wakaja kujuta mpaka hata kujiua.

Kwa hiyo facts zinaweza zisimaanishe chochote

Watu wanapowaambia wenzao hizo facts wawe na aste aste maana watu wanatofautiana interpretation ya mambo na ndio maana wahenga wakasema, mzigo wa mwenzio ni kanda la usufi
 
Last edited by a moderator:
Si bora uyakubali hayo mapungufu yanayoletea negative things na kuamua kuishi nayo?

Mimi naujua udhaifu wa mwenzangu, lkn nimeamua kuishi naye anyway. Am l in denial???? AshaDii
good for you 🙂 and thats NOT denial. Denial meeans unaambiwa mume wako ni fuska/anatapanya pesa nk na wewe 'unaziba masikio' na ku-ignore. this is a problem kwenye serious issues kama hiyo riwaya aliyosoma gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…